Dansel
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 249
- 59
Pongezi ya nini...??
What so special from them to be praised...??
We've to blame them for ruining Tanzania's cream...??
Mtu anaenda boyz na point 3 za comb yake kutoka shule ya kata ya biharamulo yenye headteacher pekee,after two years anarudi na point 18/19/20/21,je kama wewe ni mzazi utasemaje hapo...
Hizo point 18/19/20/21 huwa hazipo tabora boys, Starting from 2011 hazikuwepo, 2012 ikawepo four moja.. Na mistake imetokea mwaka huu napo four zipo ka mbili, but still many of boyzian wanapoint kali tu. tabora boys ndo shule ambayo mwaka 2011 iliingiza wanafunzi wengi bungeni katika matokeo ya form six, na jina likakua. mwaka huu imeshindwa kuingia Top ten kutokana na kuwa mwalimu wa mmoja alifanya yake katika Practical ya chemistry na kusababisha PCM waliokua wamelenga A na B+ kuyumba