Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
- Thread starter
- #41
we unafikiri elimu inaporomoka kwenye shule za kata tu, hili ni janga la kitaaluma litamkumba yoyote yule awe special au mtumba.
Hahaha shule za mitumba ndio zipi
we unafikiri elimu inaporomoka kwenye shule za kata tu, hili ni janga la kitaaluma litamkumba yoyote yule awe special au mtumba.
Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi sana kutetea hoja zako, kulikoni?kufeli kwako la7 na form4 kusiwe kero jutia ubongo wako kuwa wa panzi,Aisee dogo jiheshimu aisee unajua division wanazochukua pale?? i.12 mwisho ,la7 wanchukua magenous ,wewe mwenyewe ulikuwa unaenda kufundishwa pale
Umenisaidia mkuu dansel
Unakichaa cha mbwa mwitu wewe taboraboys unaifananisha na bukobasec? uliyosomea wewe? ,mwaka 2011 taboraboys ilikuwa na wanafunzi wa3 topten ,na ma t.o wa masomo mengi walikuwepo!! kama taboraboys ni kama shule nyingine ungeenda ofisin kwa mh.daudi abdala kuomba kuhamia kama asingekutukana mpuuzi wewe ,
Dogo huwez kuchangia humu mpaka kutukana?nafikiri ungejibu hoja na kumshawishi anayekupinga bila kutumia Lugha kali,niwie radhi,but unachofanya sio ustaarabu hata kidogo!
Dogo huwez kuchangia humu mpaka kutukana?nafikiri ungejibu hoja na kumshawishi anayekupinga bila kutumia Lugha kali,niwie radhi,but unachofanya sio ustaarabu hata kidogo!
Hujielewi wewe ni mwaka 2011 ,taborboys kulikuwa na one za tatu(i.3) nne ,KIBAHA I.3 ilikuwa 1 , ilboru hakukuwa na i.3 mwaka 2011 ,kisimiri nako hakukuwa na i.3 mwaka 2011 umenipa mbuzi wewe
Hivi ni mwanafunzi gani toka hizo shule mnazoita spesho alishafanya kitu tofauti na muhimu "innovation " za ukweli hapa bongo, zaidi ya kusoma na kupata vyeti Kwa ajiri ya kuendeleza system zilizowekwa na kuendelea kupewa msaada mkubwa wa material na mawazo ya kizungu .... au hao vipaji maana yake ni kupiga msuli na kufaulu sana? Me nilisoma mojawapo ya hizo shule A level lakini sikuona la maana zaidi ya kukesha na kukariri ... hivi mnajua maana ya elimu? Au walikuwa na vipaji gani labda, kuimba, boli, au nn?? Genious wa kukariri sio genious, refer Kwa Watu kama kina Newton, Einstein, billgates, Mandela, siku hizi kuna ma genious wa soccer kama messi ... me Kwa Kweli sijaona au labda hii system ya elimu kuwabana watoto wetu kiasi kwamba hawawezi kuleta mawazo tofauti!! "Mtazamo tu "........
My school, Malangali 2005-2007Malangali imebaki story kweli