Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Wakuu shule kama tosamaganga,ifunda tech,malangali,moshitech,galanos,pugu,weruweru,ashiragals,bwiruboys,bwiru boys,zimepotea kabisa katika taaluma wakuu tatizo ni ni ni? ,shule hizi zinachukua wanafunzi wabovu sana,mazingira mabaya,walimu hakuna au tatizo ni ni ni wakuu sababu hata katika nafasi 30 kitaifa hizi shule hazipo wakuu tatizo ni ni? kuna mjomba wangu kasomea puguboys miaka ya 70 ananiambia pugu ya miaka yao ilikuwa hatari walikuwa wanawazidi mpaka special schools now hichokitu hakipo kimebaki historia