Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Mnaharibu uzi bana na Iyunga yenu..
Turudi kwenye mada, mtoa mada anatala kujua hicho chuo na siyo stori zenu za Iyunga
NIT ina mkurugenzi au chancellor?.
Nlisoma sangu sec ila nlitimuliwaShikamoo mkuu
Duh 90's
Totaly different mi nmesomaUmesoma lini na mm nimesoma hapo olevel
Totaly different mi nmesoma
Kipind ada sio 2000
Ada ni ef 20000 kwenda juu .
Kama mmMm nimesoma kipindi Ada 70000/=
Hahah...Hamna Mzee, Daah! Lile Swimming pool halijawahi kuwa Dampo la uchafu. Lilibaki tu shimo bila maji, au maji ya mvua yakija bhasi. Lilikuwa halina kazi, lipo lipo tu...ila halikutupiwa uchafu.Iyunga ilikuwa bonge la shule
Ila ilikuwa haimilikiwi na serikali kabla
Badaye ndy serikali nyerere wakaja itaifisha....
Shule mwanzoni ilikuwa na mpk swimming pool wabongo walipoichkua sehemu hyo wakaigeuza dampo ya kuweka uchafu
Ova
Tupo pamoja mzee.Nmesoma iyunga
Na swimming pool haijageuzwa dampo
Mm nlijua limegeuzwa dampo basiHahah...Hamna Mzee, Daah! Lile Swimming pool halijawahi kuwa Dampo la uchafu. Lilibaki tu shimo bila maji, au maji ya mvua yakija bhasi. Lilikuwa halina kazi, lipo lipo tu...ila halikutupiwa uchafu.
Kama mm
Mm nakumbuka mambo ya keto boma
Siku ya ufundi maovalol
Dah aisee so funny , maisha ya pale
Wasukuma wengi ndo yalikuwa makazi yao hukoSanaaaa. Ukiwa cattle boma lazima unywe uji wa maziwa.
Hahaha mipata raha sana asee...hahha...hizo hot water heaters sijawahi kuziona hata mabaki yake nilipoenda kusoma paleWakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
HahahhaNlisoma sangu sec ila nlitimuliwa
Sikumaliza miezi 3 wanapiga bakora balaa
Kulikuwa na mwl anaitwa kabigi na ndimbo
Wao utafikiri walinikamia
Ova
Tunaweza kusema ""Ni wivu tu""...hahaMnaharibu uzi bana na Iyunga yenu..
Turudi kwenye mada, mtoa mada anatala kujua hicho chuo na siyo stori zenu za Iyunga
Vipi kuhusu Yale machine ya kusaga na kukoboa?Hahaha mipata raha sana asee...hahha...hizo hot water heaters sijawahi kuziona hata mabaki yake nilipoenda kusoma pale...Swimming pool ilibaki shimo tu.
Laundryhii inaweza kuwa yale mabaki niliyaona kule nyuma karibu na jiko, karibu na mashine.
Chakula kula na walimu, hiyo haikuwepi kabisa,Msosi mbaya kabisa
Gymnasium, ilibaki jengo...tulikuwa tunaitumia tumia kidogo kama ukumbi (wa mtihani na viParty vidogo dogo) kiujumla ilikuwa imechoka, zile mbao chini zilikuwa ktk hatua zake za mwisho mwisho.
Dispensary...Sikumbuki ilikuwa upande gani,hahhaa...ila walikuwa kutengeneza ya kigumu tu pale bweni la Shaban Robert.
Dinning ilikuwepo, ila ilikuwa ndogo...tunakula tumesimama, wengine wanatoka kula nje kweny viunga vya maua.
Hahhaha, Najivunia kusoma pale.
Ila ikirudishwa siku nyuma niambiwe nikasome SIENDI.
Mashine ilikuwa inaelekea kuchakaa, imechoka.Vipi kuhusu Yale machine ya kusaga na kukoboa?
Vipi kuhusu ule ukumbi ambao Una underground space?
Mashine ilikuwa inaelekea kuchakaa, imechoka.
Ukumbi safi, ukumbi mzuri sana ule. Pale juu stagini...Safi kabisa.
Ukumbi ulikuwa mchungu siku za mitihani.
HahhahhahaMamamaee usinikumbushe ule ukumbi, mtamu kwa kubambia toto za Loleza tu..... kwenye pepa ni laana.
Ndiyo mkuu
Ila ile swimming pool ilikua haitumiki
Ipo karibia na gymnastic