Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,476
nafikiri kiiza umejibu kiupambe zaidi hao washenga watasaidia nini kama wao wawili hawatakubaliana ivi kuna jambo linaanza ivi ivi tu labda kama huyo mtu ni mwehu inawezekana hajalishwa chochote ni kiburi yake mbaya tumetofautiana sana kuna watu stress zao za maisha huwa wanazikabili kwa njia tofauti sasa ni lazima kusoma upo na mtu wa aina gani sio kila mwanaume anyekuja amechelewa ana mwanamke mwingine ingawaje kwa asilimia uwezekano ni mkubwa
Kama nindoa lazima walifikishe kwa washenga na wazazi!!ila ilipofika mme kaishalishwa vyakulishwa mpaka amekuwa hana woga na mkewe na yupo radhi kumtaliki mkewe lamsingi nimke kujifunga kibwebwe nakupigania haki yake!!asitake kushindana kwani mwenzake ameishaona simalikitu hata akiondoka ndiyo maana nakuwa na uthubutu wakusema hivyo!!