Shukuru kama umepata mwenzi mwaminifu katika ndoa

kama ha
Walikutana wakiwa chuoni wakaanzisha uhusiano na baada ya mwanaume kumaliza chuo mpenzi wake akiwa mwaka wa mwisho wakoana kwa harusi.

Maisha yakaenda wakapata mtoto na mume akapata kazi mkoa tofauti na walipo kuwa wakisoma.Ikambidi aende kule kwa makubaliano mke wake akimaliza chuo watahamia wote sehemu mume alipo pata kazi.

Mke alipoachwa huku nyuma akiwa anamalizia chuo akianzisha uhusiano na kijana mmoja wa mtaani.Mapenzi yao yakapamba moto sana.Mume wake alikuwa akija kila weekend na hakuwahi kujua mke wake yupo na mahusiano nje ya ndoa yao.

Mke kamaliza degree yake akahamia kule mume wake alipo pata kazi.Akakaa kidogo akamwambia mume wake anataka kusoma masters ila anataka akasomee chuo kile kile alichosomea degree.

Mume akamkubalia kwa makubaliano awe anaenda home kila baada ya wiki 2 kumcheki mtoto.Mke ameanza masomo yake ya Masters na lengo kubwa si masomo lakini alitafuta chansi ya kuwa karibu na mchepuko wake.

Sasa hivi yule mke amaehamia kwa jamaa anaamkia hapo anaenda chuo na kurudia hapo yaani mume anajua mke yupo chuo kumbe mke kila usiku anakumbatiwa na mwanaume mwingine.

Si nzuri sana maana mke ni binti mdogo tu kama 25 yrs hafanani na tabia anayoifanya kabisa lakini ndiyo maisha ameyaamua hayo.

Tuombe Mungu sana atupe wenza waaminifu.Maana imagine yule bwana akija kugundua hili atakuwa kwenye hali gani.
jajua jamaa na umekauka sio poa sana ...fanya hata anonymous sijui nimepatia ...apate ujumbe ila afanyie uchunguzi kabla hajauliza mke wake maana akiuliza ashamualert mtu wake.......haya mambo nini lakinni haridhishwi kwamue wake a jamaa anakamua pasavyo au nini hiki...
 
Walikutana wakiwa chuoni wakaanzisha uhusiano na baada ya mwanaume kumaliza chuo mpenzi wake akiwa mwaka wa mwisho wakoana kwa harusi.

Maisha yakaenda wakapata mtoto na mume akapata kazi mkoa tofauti na walipo kuwa wakisoma.Ikambidi aende kule kwa makubaliano mke wake akimaliza chuo watahamia wote sehemu mume alipo pata kazi.

Mke alipoachwa huku nyuma akiwa anamalizia chuo akianzisha uhusiano na kijana mmoja wa mtaani.Mapenzi yao yakapamba moto sana.Mume wake alikuwa akija kila weekend na hakuwahi kujua mke wake yupo na mahusiano nje ya ndoa yao.

Mke kamaliza degree yake akahamia kule mume wake alipo pata kazi.Akakaa kidogo akamwambia mume wake anataka kusoma masters ila anataka akasomee chuo kile kile alichosomea degree.

Mume akamkubalia kwa makubaliano awe anaenda home kila baada ya wiki 2 kumcheki mtoto.Mke ameanza masomo yake ya Masters na lengo kubwa si masomo lakini alitafuta chansi ya kuwa karibu na mchepuko wake.

Sasa hivi yule mke amaehamia kwa jamaa anaamkia hapo anaenda chuo na kurudia hapo yaani mume anajua mke yupo chuo kumbe mke kila usiku anakumbatiwa na mwanaume mwingine.

Si nzuri sana maana mke ni binti mdogo tu kama 25 yrs hafanani na tabia anayoifanya kabisa lakini ndiyo maisha ameyaamua hayo.

Tuombe Mungu sana atupe wenza waaminifu.Maana imagine yule bwana akija kugundua hili atakuwa kwenye hali gani.
Eeehee makubwa haya ... God help us on this .. Thanks..
 
Yani ningekua Mimi wewe napasua yai tu kinuke.. Akuna namna nyingine.. Imagine ingekua ni wewe unafanyiwa ivyo?? Hakuna kitu kinauma kama kusalitiwa.
 
Hawa wanawake hawa kwanini wanafanya hivi......inauma sana......!!!
 
Hakuna MUME wala MKE mwaminifu ni just muda tu then UTAGONGEWA au MUME atatoka nje. So stay Calm and continue to CHEAT......Because if you don't the HE/SHE will.
Ha ha ha naona unapitisha kidumu cha petrol pembeni ya moto
 
Walikutana wakiwa chuoni wakaanzisha uhusiano na baada ya mwanaume kumaliza chuo mpenzi wake akiwa mwaka wa mwisho wakoana kwa harusi.

Maisha yakaenda wakapata mtoto na mume akapata kazi mkoa tofauti na walipo kuwa wakisoma.Ikambidi aende kule kwa makubaliano mke wake akimaliza chuo watahamia wote sehemu mume alipo pata kazi.

Mke alipoachwa huku nyuma akiwa anamalizia chuo akianzisha uhusiano na kijana mmoja wa mtaani.Mapenzi yao yakapamba moto sana.Mume wake alikuwa akija kila weekend na hakuwahi kujua mke wake yupo na mahusiano nje ya ndoa yao.

Mke kamaliza degree yake akahamia kule mume wake alipo pata kazi.Akakaa kidogo akamwambia mume wake anataka kusoma masters ila anataka akasomee chuo kile kile alichosomea degree.

Mume akamkubalia kwa makubaliano awe anaenda home kila baada ya wiki 2 kumcheki mtoto.Mke ameanza masomo yake ya Masters na lengo kubwa si masomo lakini alitafuta chansi ya kuwa karibu na mchepuko wake.

Sasa hivi yule mke amaehamia kwa jamaa anaamkia hapo anaenda chuo na kurudia hapo yaani mume anajua mke yupo chuo kumbe mke kila usiku anakumbatiwa na mwanaume mwingine.

Si nzuri sana maana mke ni binti mdogo tu kama 25 yrs hafanani na tabia anayoifanya kabisa lakini ndiyo maisha ameyaamua hayo.

Tuombe Mungu sana atupe wenza waaminifu.Maana imagine yule bwana akija kugundua hili atakuwa kwenye hali gani.
Maisha haya yamenitokea miaka minne imepita sasa,yule mwanamke alinibadilikia mpaka leo hua nawaza sipati jibu lakini MUNGU si mzee Jolijo.huko alikokimbilia yamemshinda nadhani ameshaleta kwangu msg karibu elfu tatu analia lia na sijawah kumjibu hata moja,na nilishaoa mke mwingine na mtoto juu.wanawake wa sasa jamani sijui wanadhani yale wanayoyaona kwenye tamthilia za kifilipino ndo maisha halisi na kumbe hakuna kitu
 
Nadhani wanawake au wadada wa leo wanasumbuliwa na tatizo moja kubwa katika fikra zao (sio akili bali fikra). Hili tatizo linaitwa CINDERELA COMPLEX.......yaani kwa lugha rahisi tutasema kujidekeza au kidada........
Aina hii ya udhaifu wa fikra inawafanya wanawake kutengeneza uhitaji wa kutaka kudekezwa masaa 24(mapenzi ya tamthiria) kwa mfano utakuta msichana anaweza kumsaliti mpenzi wake aliyenaye ambaye ni mwaminifu na anatumia muda mwingi kutafuta pesa za kujenga future yao kwa kuanzisha mahusiano ya siri na mchepuko au mwanaume kisa tu huyu mwanaume anamfungulia mlango wa gari, anampigia kila baada ya nusu saa kumuuliza kama anaendeleaje, anamnunulia zawadi ndogo ndogo kama mauwa au midoli, anaongea naye kwa kubembeleza, anatuma meseji nzuri ........vitu ambavyo huwa vinaamsha hisia kwa muda mfupi lakini si za kudumu.
Hivyo basi wanawake wengi hujenga huu udhaifu wakijua wazi kuwa wanakosea ila tu ni kwasababu mwanaume aliyenaye hampi msisimko kutokana na kumzoea hii inamfanya kuona mahusiano ya nje na ya siri ni necessity na si kosa. Wanawake hufanya hivi si kwasababu ya kuwafurahisha hao wanaume wa nje bali ni kukidhi haja zao za kifikra ambapo kwa wakati huo akili zao zinakuwa zimekaa kimzaha mzaha tu na si makini. Hii tabia si nzuri kwakweli ingawa kuna watu wanaipigia kura ya ndio kwa mfano wale wanaosema kuwa "hata kama haujachepuka yeye atachepuka tu......"Huu ni mfano wa kauli mbovu zinazolenga kusapoti usaliti na kuona kama ni suluhu ya hitilafu za mahusiano.......
Hili tatizo la cinderella complex tiba yake ni ufahamu kwa wanawake kuwa katika mahusiano kuna ups n downs.......na inapotokea mumeo au mchumba wako anaonekana yupo busy na majukumu ya kutafuta kipato cha future yenu au majukumu mengine muhimu (sio kuwa busy na mtu mwingine akikusaliti) unatakiwa umpe mda wa kukumiss kwa weww kujiweka busy na kazi yako na ukiona bado hakumiss basi kaa naye na umwambie ukweli wa hiyo kero unajisikia ya yeye kukupuuza kisha omba ruhusa ya kukaa naye mbali at least kwa muda wa wiki moja uende kwa wazazi au hata kwa kaka dada au mdogo wako ili umpatie space ya kurekebisha mambo yake na kuweza kufocus kwenye mapenzi yenu.

Na ikitokea ni kwasababau ya umbali basi mjitahidi kufanya utoto wa kuwasiliana kila baada ya dakika 20 at least hii huwa inaleta ukaribu na kupunguza emotional distance na kuongeza affection kati yenu (wengi huwa hawafanyi hii kitu wanasema ni mapenzi ya kitoto au ya sekondari) lakini hata watafiti wa mahusiano wameshathibisha kuwa mapenzi ya kudumu huwa yanachangiwa na 70% ya utoto ndani yake wa kila namna mfano kununuliana chokleti...biscut......kuoga pamoja..... pillow fight..kukimbizana ndani ya nyumba mkiwa watupu (wapeleke watoto wakamsalimie bibi yao ukiwa unafanya utoto huu maana utatoa radhi ya bure kwa watoto), kutoka nje saa sita usiku kutandika mkeka na kuangalia nyota na mbalamwezi na uzuri wa anga kipindi likiwa tupu bila mawingu, kulishana vitu kufanya mazoezi ya deep kiss nonstop kwa zaidi ya dakika 30..nakadhalika.........utoto upo wa aina nyingi ni maamuzi ya utoto upi mtachagua.

Mimi nimeprove hii kitu kwa maana nimeona rafiki yangu ambaye yupo benet sana na mchumba wake ni muda wote wapo pamoja hawajaruhusu kazi wala mabadiliko ya kimajukumu yawabadili mfumo wa mahusiano yao.....ofcourse kuna cases ambapo waliexpirince mifarakano hata ikatishia wao kutaka kuzinguana lakini wamekuwa wakiupa uhusiano wao thamani kiasi kwamba kwa muda wamekuwa pamoja nadhani wametengeneza mazingira mazuri ya mbele mimi nazidi kuwaombea wafanikiwe maana huwa sifurahii watu wenye nia nzuri ya kuwa pamoja wanapofarakana.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom