Shukrani

Shukrani

Tuko pamoja mkuu. Pamoja Daima! Pole kwa matatizo, Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kusahau. Bwana alitoa, Bwana ametwaa: Jina lake na liendelee KUHIMIDIWA.
 
Usijali tupo pamoja kama ndugu na marafiki hapa JF kikubwa ni kudumisha undugu uliopo hapa JF uendelee usijali Sipo tupo pamoja nawe, tunawashukuru wote walio tuwakilisha.
 
Tuko pamoja mkuu. Pamoja Daima! Pole kwa matatizo, Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kusahau. Bwana alitoa, Bwana ametwaa: Jina lake na liendelee KUHIMIDIWA.
Nashukuru sana Chris kwa sapoti Mkuu, Thanks once again Sir
 
Usijali tupo pamoja kama ndugu na marafiki hapa JF kikubwa ni kudumisha undugu uliopo hapa JF uendelee usijali Sipo tupo pamoja nawe, tunawashukuru wote walio tuwakilisha.
Nashukuru Mpwa! Salute to JF
 
Pole kwa matatizo once again na tunamshukuru Mungu mmemaliza salama, tuko pamoja daima.
 
Thanks for thanking JF & its members, karibu tena mkuu!
 
Pole sana ,ndio Ukubwa huo. Sote ndio njia yetu tuelekeayo.
 
Karibu tena mkurugenzi,tupo pamoja.Asante kwa uandishi mzuri na kwa hilo nimekuchapa SENKS.
 
Pole sana kwa msiba na pia tumepokea shukrani zako kaka,Mungu aendelee kuwafariji wafiwa wote katika kipindi hiki,pia tunakukaribisha tena kwenye uwanja wetu wa kujidai JF.Karibu mkuu.
 
welcome back musheshimiwa!MAISHA YANASONGA
 
WELCOME BACK TO LIFE SIPO.
Life is still here, with all its ugliness!
Be normal, Keep it moving, thats all!
 
Back
Top Bottom