Shukrani

Sometimes

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
4,536
Reaction score
1,137
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Uongozi wa JF wa kunipandisha "status" kutoka "member" hadi "senior member". Bravo JF!
 
cheo ni dhamana!pia walitakiwa wakupe na barua ya kupandishwa cheo pia hv ukiwa burn cheo hua kinashushwa?
 
Hongera sana.
Tunategemea hekima, busara na kuvumiliana kwa yote yatakayo kupendeza na pia kukukwaza humu ndani mkuu.
 
Hongera sana mkuu..angalia sana cheo kisije kukuponza mpaka ukajivua gamba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…