KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Mungu ni mwema sana na ni waajabu pia, matendo yake hayaelezeki,yanatisha na wakati mwingine ukimtafakari sana unaweza usifike mwisho wa tafakari yako. Na mwisho uwaweza sema kweli Mungu ni wa ajabu au mwacheni Mungu aitwe Mungu na mengine meengi
Kipekee namshukuru sana Mungu kwani amenipa ujasiri wa ajabu saana sana. Nipo jamvini leo kutoa shukrani zangu za PEKEE kwa familia hii ya JF kwa upendo mkubwa mliuonyesha kwangu na kwa familia yangu baada ya kuondokewa na mwanangu kipenzi wa pekee.
Ilikuwa siku ya tar 10/03/2012 Jumaosi alasiri ndipo Mungu aliponijaalia mtoto huyu, siyo siri it was the happiest day in my life, nilifurahi na kumshukuru Mungu sana sana. Ndiyo safari ya maisha ya mwanangu ilipoanza. Nilijitahidi kwa kila nilichoweza na kwa kila nilichonacho kuhakikisha mtoto anakuwa na siha njema, Na kweli Mungu alimjalia afya njema sana. Na tar 10/03/2013 mwanangu alitimiza mwaka mmoja, na milimshukuru Mungu kuwa nimekuza kuza sasa.
Kama alivyoeleza babu Dark City kuna mlipuko wa ugonjwa usioleweka chazo uliingia wilayani kwetu, na tetesi zilisema watoto wengi wamekuwa affected but hawajonyesha symptoms. Mwangu alianzwa ghafla siku ya ijumaa, alipata treatment tukaruhusiwa kurudi nyumbani na alikuwa happy and healthy hadi jumamosi km saa moja hvi hali ilibadilika ghafla, tulirudi hospitali tukalazwa na akaanza kupewa matibabu, alionyesha matumaini alfajiri ya Jpili hali yake ilibadilika tena na kuwa mbaya zaidi hadi umauti unamkuta ahsubuhi ile kati ya saa 2-3.
Kipekee niwashukuru sana JF Tanga wing kwa moyo wa upendo waliouongesha kwangu regarless uchache wao. Waliweza kuniunganisha na wana JF wote ambao waliungana nami kuomboleza pamoja nao kipindi chote hadi leo, waliweza kuja kunishika mkono na kuuumia pamoja nami katika msiba huu mkubwa.Pia waliwezesha familia hii ya JF kuuniunga mkono kwa hali na mali na kwa faraja na upendo mkubwa. Nawashukuru sana babu Dark City, Mwanyasi, YNNAH, CHUAKACHARA na Arabela, sina cha kuwalipa. Mungu mwenyewe atanyosha mkono wake wa baraka na upendo.
Kipekee sana pia niwashukuru sana JF members woote kwa upendo mliouonyesha kwangu, mmekuwa faraja kubwa kwangu, familia yenye upendo usioelezeka, souce of my hope.
Nawashukuru sana kwa kujitoa kwenu, shukrani kwa waliopost post za kutia moyo kwenye thread aliyoanzisha babu Dark City, nilifarijika sana, shukrani pia kwa wote walioni PM kunipa pole, nawashukuru sana wote walinipigia simu na kunitext, wote mlinifariji sana sana, wapo pia walioweza kunitumia pesa kupitia kwa katibu wetu Tanga wing, niseme ahsanteni sana sana, Mungu akaongeze pale palipopunguzwa kwa ajili yangu.
Sina maneno ya kutosheleza shukrani zangu kwenu, maana maneno pekee hayatoshelezi na hayawezi kuonyesha faraja kubwa niliyonayo kutokana na upendo wenu mliouonyesha. Nawapenda sana sana. Mungu awabariki sana.
Salamu nyingi toka kwa mama, kaka, dada, wadogo zangu na ndugu zangu. Hawakuamini km watu wanaojuana mtandaoni wanweza kufanya makubwa haya. Wamefarijika sana
Rest In Peace my Son
Babu Dark City naomba unisaidie kuongezea, kwaniba ya kitukuu chako, na Tanga wing na JF kwa ujumla
Nilitamani sana kuwataja majina woote but najua na naaamini mtanielewa why sikuweza, ni wengi mmo. Na ndo maana nasema nashindwa niwashukuruje.
Msiba huu umenifundisha mambo mengi sana, nitakuja kutoa ushuhuda siku za usoni kwanini msiba hu umenifundisha makubwa sana na hasa kuwa na hofu ya Mungu na kumshirikisha kwa kila tufanyalo.
Again, I LOVE YOU ALL.
Tuendelee kupendana.

Last edited by a moderator: