Shukrani za dhati

Shukrani za dhati

Hili jina lake sio geni, kulikuwa na bandiko lake mwaka jana ingawaje sikumbuki ilikuwa ni kutamfuta mchumba au ilikuwa ni habari ya kuomba ushauri...

Hata hivyo Mungu akutie nguvu bi dada, kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa shughuli...

mi sio mgeni umu ndani nimewahi ata kutafuta mwenzi mwenye vvu na nikaambulia maumivu tu , kuna vitu vingi tu nimewahi post
 
Naam nalikumbuka jinalo...

Pia kama hujafanya hivyo basi surrender yourself to the most high, Jesus Christ...

Naamini ya kale yote atayafanya yapite, na kuyafanya yawe mapya kabisa...

mi sio mgeni umu ndani nimewahi ata kutafuta mwenzi mwenye vvu na nikaambulia maumivu tu , kuna vitu vingi tu nimewahi post
 
Amina.
Vipi kitabu? Natumaini 2014 itakuwa more kind to you kiddo.
Thanks Karucee kwa kuniita kwa nguvu. (Damn smart fones, ilikuja 'kunitia' badala ya kuniita) LOL
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa kuwa na moyo wa kushaurika. Mungu akujaalie wepesi na akuonekanie ktk maisha yako
 
Inafaa kujipa moyo na kujidanganya.

kujidanganya siwezi maana naweza kuwa na vvu ila kifo changu kikatokana na ata ajari ya gari ujasiri wangu unanifanya niishi vizuri maana tangu nimetoa siri hii humu nina amani kwa ushauri ninaopata ata ukiniona leo hutoamini nilivyo na maisha yanaenda na nina degree yangu mungu akipenda mwaka huu nitaanza masters maana najua sifi leo wala kesho kwa neema za mungu
 
Tena possibly kabisa huyo anayekuponda yeye ndio akafa kwa kwashakoo, maana malofa siku zote wamejawa chuki wakati hata mlo kwake ni kitendawili.
 
Napenda kushukuru jf sanasana Asha D , Fixed point , maxence melo, kaunga , riwa , mwa j ,kipipi , blacki woman , mtambuzi , erickb52 na niliowasahau mmefanya nione kuwa na vvu si mwisho wa maisha kwani ilikuwa ngumu sana kukaa nalo moyoni bila familia yangu kujua kupitia nyinyi nimekuwa wazi kwenu na mmenisaidia sana kimawazo na kifedha pia, nawashukuru sana mmefanya nikubali hali yangu napitia changamoto nyingi ila mnanisaidia kama tujuavo kumsaidia usiyemjua ni kazi ila nyinyi mmeweza . Nawapenda sana na mungu awe nanyi

Ahsante Mariangonyani na tupo pamoja........
 
Last edited by a moderator:
kujidanganya siwezi maana naweza kuwa na vvu ila kifo changu kikatokana na ata ajari ya gari ujasiri wangu unanifanya niishi vizuri maana tangu nimetoa siri hii humu nina amani kwa ushauri ninaopata ata ukiniona leo hutoamini nilivyo na maisha yanaenda na nina degree yangu mungu akipenda mwaka huu nitaanza masters maana najua sifi leo wala kesho kwa neema za mungu
Mariangonyani sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa kumjibu huyu...........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom