Mariangonyani
Member
- Mar 31, 2013
- 39
- 59
Napenda kushukuru jf sanasana Asha D , Fixed point , maxence melo, kaunga , riwa , mwa j ,kipipi , blacki woman , mtambuzi , erickb52 na niliowasahau mmefanya nione kuwa na vvu si mwisho wa maisha kwani ilikuwa ngumu sana kukaa nalo moyoni bila familia yangu kujua kupitia nyinyi nimekuwa wazi kwenu na mmenisaidia sana kimawazo na kifedha pia, nawashukuru sana mmefanya nikubali hali yangu napitia changamoto nyingi ila mnanisaidia kama tujuavo kumsaidia usiyemjua ni kazi ila nyinyi mmeweza . Nawapenda sana na mungu awe nanyi