Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 844
Kama kuna kitu waKenya hawataki kuadmit ni niuwa Tanzania kunaanza kuwa major player in the region japo tunadeal na mafisadi wetu kwa namna ambavyo tunajua wenyewe. Maana watanzania wakionewa na watawala wao ..basi sie huishia kujibu kwenye MASHAIRI. Media Kenya kama kawaida yao wamekataa ku acknowledge role ya JK na MKAPA na hawati kukubali kuwa hata idea ya PM tuliwapa sisi tena based on system yetu
shukrani yao?
Btw huyu GADO ni Mbongo
shukrani yao?
Btw huyu GADO ni Mbongo