Shukrani ya wa KENYA ni hii

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kama kuna kitu waKenya hawataki kuadmit ni niuwa Tanzania kunaanza kuwa major player in the region japo tunadeal na mafisadi wetu kwa namna ambavyo tunajua wenyewe. Maana watanzania wakionewa na watawala wao ..basi sie huishia kujibu kwenye MASHAIRI. Media Kenya kama kawaida yao wamekataa ku acknowledge role ya JK na MKAPA na hawati kukubali kuwa hata idea ya PM tuliwapa sisi tena based on system yetu

shukrani yao?

Btw huyu GADO ni Mbongo

eacart100308.jpg
 
But they are not out of the woods yet; going by what their Chief Secretary has outlined on the set up of the Grand Coalision and functions of the proposed Prime Minister.

Seems PNU are stuck in the mode of business as usual.
Wonder what will happen in parliament today!
 
Game Theory,

..Nafasi ya Waziri Mkuu ni moja ya vipengelea vya katiba mpya ambavyo viliwakosanisha Raila na Kibaki.

..Hata kwenye ile Constitutional Referendum Kibaki alikuwa akipinga nafasi ya Waziri Mkuu na Raila akiunga mkono.

..Kwa msingi huo nachelea kuamini kwamba idea ya PM imetokea Tanzania. Hata Uganda wana Waziri Mkuu. Mozambique wana Waziri Mkuu. Zanzibar wanaye Waziri Kiongozi/Waziri Mkuu. Kwanini Watanzania tunasisitiza idea hiyo imetokea kwetu tu, na siyo nchi nyingine yoyote?

..Hapa Tanzania tumekuwa na mjadala mkali kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu vs Makamu wa Raisi. Kuna wanaodai kwamba moja ya nafasi hizo ni redundant. Sijui kama mjadala kama huo hautatokea Kenya.

..Kwa upande mwingine inasemekana Kikwete alikwenda Nairobi na kumpa somo Mwai Kibaki kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu.

..Kwanini Mwai Kibaki alishindwa, kwa mwezi mzima, kuelewa somo la Uwaziri toka kwa Ben Mkapa au hata Graca Machel, lakini kwa muda wa masaa kadhaa tu akaelewa somo hilo hilo toka kwa Jakaya Kikwete?

..Ndiyo maana kuna wanaodai kuna kitu kilichojificha kuhusu safari ya Kikwete kwenda Nairobi. Hali hiyo ndiyo inayowafanya watu waamini kwamba Kikwete alikuwa ametumwa na wakubwa kwenda kuwatisha na kuwalazimisha Mwai Kibaki na Raila Odinga kufikia makubaliano ya amani.

..Lakini hata kama hakuwa ametumwa na wakubwa, kabla Raisi Kikwete hajatua Nairobi,Raisi Museveni alikaririwa akisema kwamba usuluhishi utapatikana. Kikwete naye alikaririwa akitoa kauli kama ile ya Museveni.

..Je, haiwezekani kwamba Koffi Annan na timu yake walishafanya vitu vyao? Haiwezekani kwamba Kikwete alikuwa anakwenda kukamilisha kazi kama Mwenyekiti wa AU? Kumbuka kwamba mazungumzo haya yalianzishwa na John Kuffour wa Ghana kwa wadhifa wa Uenyekiti wa AU.

..Makubaliano ya amani ya Kenya yana vipengele vingi ikiwemo kuanzishwa kwa Tume za kuchunguza masuala ya Ukabila, Tume ya usuluhishi na Ukweli[truth & reconciliation], Uchunguzi wa uchaguzi na muundo wake, na marekebisho ya katiba. Haiyumkiniki Raisi Kikwete akae Nairobi kwa siku mbili na kukamilisha mambo yote hayo.

..NINAAMINI KUNA JITIHADA ZA MAKUSUDI KABISA ZA KUMSIFIA NA KUMKWEZA RAISI KIKWETE KWA KAZI AMBAYO HAKUIFANYA. WAKATI HUOHUO TUKIDHARAU JUHUDI NA KAZI ZA WASULUHISHI GRACA MACHEL,BEN MKAPA,OLUYEMI ADENIJE, CHINI YA UONGOZI WA KOFFI ANAN. HATA MAHASIMU WAWILI RAILA NA KIBAKI HAWAPEWI SIFA YOYOTE ILE KWA UJASIRI NA MATURITY WALIOONYESHA KUFIKIA MAKUBALIANO HAYA.
 
Kama kawa ni zile zile za kibongo za kutaka masifa wasiyostahili,eti nafasi ya PM idea imetoka kwetu,again bila aibu JK sasa ni major player,sasa hapo Kofi ni nani?then wakiambiwa ukweli wanaita ndio shukurani za wakenya...wakati wakifa wengine humu mlikuwa busy kudiscuss namana ya kufunga border na kutake advantage ya vita vyao...next time check your facts kabla hujaandika na ujue bila Kofi Anan na deal za chini chini from west leo kenya wangekuwa wanauana tuu.
 
Koba,

..Watanzania hapo tunatafuta sababu ya kuandamana au kucheza ngoma.

..Watanzania ndivyo tulivyo!!!!
 
Ndiyo maana siku moja nikawauliza watanzania wenzangu, tutaacha lini kumsifia Kikwete kwa mafanikio hewa? Kama hatuna mafanikio ya kuonyesha tukae kimya hadi tutakapoyapata. Siku hizi hata kupewa misaada na kufutiwa madeni tunaita mafanikio!! We have become a confused people lacking in any sense of seriousness
 
MZEE VIPI MWENYEKITI KAPOTEA SHULE YUKO KWENYE KITCHEN PARTY YA CHADEMA, MARA ALIKUWA KITETO LINI ATARUDI SHULE?
 
MZEE VIPI MWENYEKITI KAPOTEA SHULE YUKO KWENYE KITCHEN PARTY YA CHADEMA, MARA ALIKUWA KITETO LINI ATARUDI SHULE?

Kapotea shule wewe ni mwalimu wako ? What is the connection ya mchango wako kwenye mada hii ? Si umeanzisha mada ya kumtusi kule wacha watu waendelee kule hapa jibu hoja tafadhali .
 
Kapotea shule wewe ni mwalimu wako ? What is the connection ya mchango wako kwenye mada hii ? Si umeanzisha mada ya kumtusi kule wacha watu waendelee kule hapa jibu hoja tafadhali .

SIJAMTUSI MWENYEKITI NIMEHOJI MAHUDHURIO YAKE CHUONI.NAELEWA MAHUDHURIO YA SEMINA NA MIHADHARA NI SEHEMU YA MASOMO LABDA UNIAMBIE KUWA MWENYEKITI ANASOMA OPEN UNIVERSITY. HAKUSOMA UTOTONI ANAWEZA UKUBWANI?
 
Please tuache tujadili hoja hapa .Endelea na udaku wako na zaidi kamuulize Mbowe maana unaweza kumpata . Ama kalalamike shule kwake na kama unamlipia karo acha kumlipia ila tuache tuendelee na mijadala tafadhali .
 
siwezi kumlipia karo, coz hamnazo kichwani.analipiwa mtu ambaye ni kipanga na ana nia ya dhati ya kusoma.
 
SIJAMTUSI MWENYEKITI NIMEHOJI MAHUDHURIO YAKE CHUONI.NAELEWA MAHUDHURIO YA SEMINA NA MIHADHARA NI SEHEMU YA MASOMO LABDA UNIAMBIE KUWA MWENYEKITI ANASOMA OPEN UNIVERSITY. HAKUSOMA UTOTONI ANAWEZA UKUBWANI?
Unajivunjia heshima mkuu kwa kuchanganya mambo.
Niwie radhi,hizo huwa ni dalili za wehu.
 
Kitu kimoja ninachojivunia kuhusu watanzania ni sense of humour yao! Yaani kweli tunapandisha munkhali (?) kutokana na katuni?
 
Ni vizuri mkaelewa kuwa siku zote anaye malizia jambo ndio hukumbukwa zaidi. Kwa hiyo kwa vile Kikwete ndiyo amemalizia basi ndio watu humkumbuka na kumsifia yeye. Hiyo ndiyo hulka ya mwanaadam.
 
kikwete na timu yake ... wanajaribu kujipa sifa badala ya kungojewa kupewa sifa...i watched jk narrating news conference at jk nyerere airport it was childish for a statesman to talk as if anahadidhia movie ya kihindi....kwamba baada ya yeye kufika pale kila kitu kikawa sawa....kwa kiongozi wa level yake hakutakiwa kujimwagia ujiko...

i can tell you ninaangalia channel za kenya zilizo kwenye satelite ...sifa ya process yote ile imeenda kwa ANNAN na timu yake...role ya kikwete haitajwi sana...pamoja na kuwa kiukweli naye kafanya kazi ya mwisho...wao wamemchukulia kama shahidi as chairman wa AU.....

ITS time jk aige mfumo wa nyerere ..akishafanya kazi ..asipende sifa ..bali asubiri sifa kama zipo zitolewe...unaweza ukamsaidia mtu lakini kusema ahasante inategemea....nyerere hakupata kujisifu...hata wapatanishi maarufu tulionao kama dr salim huwa hawajisifu.....
 
JAMANI HAYA MAMBO YA NANI KAIBA IDEA KUTOKA KWA NANI NI UPUUZI MTUPU, CHA MSINGI TUISHI KWA AMANI WITHOUT BOASTING WHERE THE IDEA WAS BORN. TUSISAHAU KWAMBA MCHAKATO MZIMA NI KUBADILISHANA IDEAS KAMA VILE;

1. KENYA HAD AND STILL HAS KENYA FOOTBALL FEDARATION (KFF)
TANZANIA HAD FAT AND NOW TANZANIA FOOTBALL FEDERATION (TFF)

2. KENYA HAD AND STILL HAS KENYA PORTS AUTHORITY (KPA)
TANZANIA HAD THA AND NOW TANZANIA PORTS AUTHORITY (TPA)

3. KENYA HAD AND STILL HAS KENYA BROADCASTING CORPORATION (KBC)
TANZANIA HAS EMBRACED THE NAME TANZANIA BROADCASTING CORPORATION (TBC)

4. KENYA HAS UNIFORM VEHICLE REGISTRATION NUMBERS COUNTRY WIDE WHILE IN TANZANIA VEHICLE REGISTRATION WAS REGIONAL EG MSH 125 FOR MOSHI OR MG 4587 FOR MOROGORO. BUT NOW IN TANZANIA VEHICLE REGISTRATION NUMBERS IS COUNTRY WIDE JUST AS IT IS IN KENYA.

5. IN 2002, THE OPPOSITIONS PARTIES IN KENYA FORMED A COALITION THAT MANAGED TO GET IN POWER, THE OPPOSITION IN TANZANIA TRIED TO FORM A COALITION BUT FAILED. REMEMBER THIS COALITION IDEA WAS BORN IN KENYA.

THE DEAR FRIEND THE LIST IS ENDLESS BUT THE BOTTOM LINE HERE IS IT IS NORMAL TO EXCHANGE IDEAS. HAVE A NICE DAY.

Unajua kaka this is very psychological. Kawaida mtu yeyote anayejisifia huwa ni yule asiye na kitu cha kuonyesha. Ndio maan basi hata wataalamu wetu wanapenda kujitambulisha kwa taaluma zao maana hawana kitu cha kuthibitisha utaalamu wao. Utakuta mtu ni engineer, akisimama lazima aseme mimi ni Engineer ..., hapo mpo kwenye bar. Utakuta mtu ni prof au dr basi kila asimamapo hata kama ni kwenye msiba haachi kujitambulisha kwamba mimi ni prof kaputi kutoka.., tena usipomuita profesa anaweza akakununia miezi kadhaa. yote hii ni kwa sababu hana kitu cha kuonyesha kuthibitisha uprofesa wake zaidi ya yeye mwenyewe kujiita hivyo.

Kwa hiyo Rais wetu naye anaangukia kwenye tatizo hilohilo. Huyu ni Rais ambaye ndiye ataingia kwenye record kushindwa kufanya ktiu chochote cha maana katika urais wake. Ndio akina Mkapa walituibia lakini kuna angalau kitu wanaweza kuonyesha. Huyu amebaki kutuchekea tu na kujisifu mwenyewe, sasa wakati mwingine anatia hata huruma kwa kweli.
 
JAMANI HAYA MAMBO YA NANI KAIBA IDEA KUTOKA KWA NANI NI UPUUZI MTUPU, CHA MSINGI TUISHI KWA AMANI WITHOUT BOASTING WHERE THE IDEA WAS BORN. TUSISAHAU KWAMBA MCHAKATO MZIMA NI KUBADILISHANA IDEAS KAMA VILE;

1. KENYA HAD AND STILL HAS KENYA FOOTBALL FEDARATION (KFF)
TANZANIA HAD FAT AND NOW TANZANIA FOOTBALL FEDERATION (TFF)

2. KENYA HAD AND STILL HAS KENYA PORTS AUTHORITY (KPA)
TANZANIA HAD THA AND NOW TANZANIA PORTS AUTHORITY (TPA)

3. KENYA HAD AND STILL HAS KENYA BROADCASTING CORPORATION (KBC)
TANZANIA HAS EMBRACED THE NAME TANZANIA BROADCASTING CORPORATION (TBC)

4. KENYA HAS UNIFORM VEHICLE REGISTRATION NUMBERS COUNTRY WIDE WHILE IN TANZANIA VEHICLE REGISTRATION WAS REGIONAL EG MSH 125 FOR MOSHI OR MG 4587 FOR MOROGORO. BUT NOW IN TANZANIA VEHICLE REGISTRATION NUMBERS IS COUNTRY WIDE JUST AS IT IS IN KENYA.

5. IN 2002, THE OPPOSITIONS PARTIES IN KENYA FORMED A COALITION THAT MANAGED TO GET IN POWER, THE OPPOSITION IN TANZANIA TRIED TO FORM A COALITION BUT FAILED. REMEMBER THIS COALITION IDEA WAS BORN IN KENYA.

THE DEAR FRIEND THE LIST IS ENDLESS BUT THE BOTTOM LINE HERE IS IT IS NORMAL TO EXCHANGE IDEAS. HAVE A NICE DAY.

I don't really get where you heading to other than smelling a sense of a display of self-importance! You seem to be suggesting that you are always ahead of us, and at the same time you sarcastically suggest that this is a normal exchange of ideas, Isn't this what the English call hypocrisy?
 
Back
Top Bottom