Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
Ahsanteni kwa ushauri mlio nipatia kuhusu thread niliyo post juu ya wazo lililo kuwa linanisumbua la kutaka kujiua!
Nilikwenda kwa miongoni mwa wachungaji mlio nielekeza na kuombewa,na sasa nipo sawa kabisa!
Nashukuru sana!
MUNGU AWABARIKI!!!
Nilikwenda kwa miongoni mwa wachungaji mlio nielekeza na kuombewa,na sasa nipo sawa kabisa!
Nashukuru sana!
MUNGU AWABARIKI!!!