Shukrani Star Times kuweka redio, tunaomba muongeze ziwe nyingi

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Naona kuna TBC FM na TBC taifa,tunaomba muongeze ziwe redio nyingi maana Azam mpaka ulipie ndio zifunguke.
 
Huwa nawashangaa sana AzamTv yani hadi radio station tulipie?..Sasa mbona huku mtaani kwenye ma SABUUFA yetu hatulipi? unapata station zaid ya 20 zote bure
 
Huwa nawashangaa sana AzamTv yani hadi radio station tulipie?..Sasa mbona huku mtaani kwenye ma SABUUFA yetu hatulipi? unapata station zaid ya 20 zote bure
Yaani startimes wanakuja vizuri,hebu fikiria Azam husikilizi redio hadi ulipie mambo ya capitalism,bora nikomae na star times
 
Mbona azam hata bila kulipia tunasikiliza radio kama zote!
Natumia Azam, usipolipia kingamuzi baada ya siku 2 au 3 wanakata na redio, ningeshauri waobdoe redio yao tu UFm, zingine ziendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…