zinapatikana bure mkuu?Naona kuna TBC FM na TBC taifa,tunaomba muongeze ziwe redio nyingi maana Azam mpaka ulipie ndio zifunguke.
Yaani startimes wanakuja vizuri,hebu fikiria Azam husikilizi redio hadi ulipie mambo ya capitalism,bora nikomae na star timesHuwa nawashangaa sana AzamTv yani hadi radio station tulipie?..Sasa mbona huku mtaani kwenye ma SABUUFA yetu hatulipi? unapata station zaid ya 20 zote bure
Haa TehYaani startimes wanakuja vizuri,hebu fikiria Azam husikilizi redio hadi ulipie mambo ya capitalism,bora nikomae na star times
Kweli, waongeze!Ndio bure kabisaa,ila itakuwa poa wakaongeza redio
Mbona azam hata bila kulipia tunasikiliza radio kama zote!Naona kuna TBC FM na TBC taifa,tunaomba muongeze ziwe redio nyingi maana Azam mpaka ulipie ndio zifunguke.
Uongo mrahisi kabisaMbona azam hata bila kulipia tunasikiliza radio kama zote!
Tumia hekima kidogo, kwahiyo tunaotumia kung'amuzi hiki wote wajingaMalofa tuu hawa kisimbuzi cha mamb.....ga
Natumia Azam, usipolipia kingamuzi baada ya siku 2 au 3 wanakata na redio, ningeshauri waobdoe redio yao tu UFm, zingine ziendelee.Mbona azam hata bila kulipia tunasikiliza radio kama zote!