TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,269
- 1,585
Tunapofurahi kuifikia hii siku njema ni Vema tushukuru na kutoa SHUHUDA mbalimbali juu ya yale mema aliyotufanyia Mwenyezi Mungu (Allah) kwa mwaka 2016.
Tafadhari, mtolee bwana NENO LA SHUKRANI.
Tafadhari, mtolee bwana NENO LA SHUKRANI.