Shukrani kwa wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shukrani kwa wote

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by samilakadunda, Jun 30, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sina budi kutoa shukrani kwa wote walioshiriki tangu Mpendwa wetu Dr ulimboka kukutwa na yaliyo mkuta hadi walipofikia sasa kwani twaamini nimwenyezi mungu ndie muweza, pia naomba kutoa shukrani kwa watanzania wote walioamua kutoa pesa zao kuweza kunusuru maisha ya mpendwa wetu, pia wote walio kesha kwa maombi usiku kucha kwa kumuombea ndugu yetu.

  KUTOA NI MOYO NA SIO UTAJIRI. MUNGU MBARIKI NA UMLINDE MPENDWA WETU.
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hili jukwaa linanipa raha!
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru mno na sisi kuona mpendwa wetu anaendelea vizuri tuko wote kwenye maombi na kumlilia Mwokozi wetu ampe afya njema mapema. Mungu amlinde na amponye mara
   
 4. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  amina la billhaalamina, na tunazidi kumuombea kkwa nguvu sana kwa allah subhana uhwataala, na inshallah atazidi kupata nafuu tukiamini atarejea akiwa na afya njema na bora kabisa kwani bado tunahuhitaji sana mchango wake katika ujenzi wa taifa letu hili.
  Wao wana nguvu na silaha sisi tunae mtetezi wetu allah subhana uhwataala
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Mungu amsaidie sana
   
 6. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  raha gani mkuu?? Nasita kutamka neno juu yako!
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  labda ni ile ya sita kwa nne
   
 8. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tunashukuru kwakushukuru kwakua shukurani ni kitu muhimu sana hasa pale unapoona jamabo jema lilifanikiwa au lilisaidiwa kutendeka na wanaokuzunguka ikiwa pamoja na sisi wana JF..
  pamoja sana
  :flypig:CUTE:flypig:
   
Loading...