Shukrani kwa misikiti yote inayo wajali ndungu zetu walemavu wa macho

MENERIKI II

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
679
Reaction score
1,393
Habari za muda huu wana JF,

Leo nimeona nitoe shukrani au kuwapongeza MAIMAMU wa misikiti mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam,kwa kuanzisha utaratibu wa kuwasaidia ndugu zetu walemavu wa Macho.

Nimejaribu kufuatilia Misikiti mingi nimeona wameweka siku na muda maalumu wa kuwasaidia watu hawa.
Mf; hii ni baazi ya Misikiti Michache nilio iyona ikifanya huu utaratibu

Msikiti wa Sinza Parestina,Ilala Bungoni,Magomeni Mataa(Kichangani),Magomeni Mwinyi Mkuu,Kigogo Round about Nk.

Hii ni michache kati ya mingi nilio jaaliwa kuishuhudia ikifanya hivyo, Maimamu hukusanya pesa kwa waumini (Hiyo siku huwa ni Siku ya michango ya Walemavu tu). nimefarijika sana kuona ndugu zetu walemavu wa Macho wasio jiweza wakipata msahada.
 
Ni jambo jema sana na la kupongezwa.

Mkuu zingatia uandishi sahihi wa herufi na maneno katika nyuzi zako ili kuleta mtiririko bora usio na mawaa.
Asante.
 
Back
Top Bottom