Shukrani kwa marafiki

Hahahahaha lol!!!! Yule alikuwa anafurahia ubwabwa ndio furaha yake kubwa aliyokuwa nayo ikabidi mpaka ajigaraze kwenye mavumbi πŸ™‚πŸ™‚...Chezeya utamu wa ubwabwa weye!!!! tena wa Nazi πŸ™‚πŸ™‚

Mkuu BAK inabidi usherehekee kwa kucheza ile ngoma ya kugaragara kwenye mavumbi kama ya yule mama mbunge wa Songea alivyofanya jana
 
Hongera umekula nusu dozi lakini.

Ukitaka kwenda siasani hakikisha umepata supu ya kongoro kwanza;
 
Wala sihitaji supu nazuka tu, Mandela alifungwa miaka 27 kutetea nchi yake, kamwe huwezi ukalinganisha na kifungo cha hapa cha mwezi mmoja au hata zaidi ili kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania.
CC: Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:

HADI RAHA!
:busu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Thou its too late for me to see this BAK your my good bravo cheers .how you doing my dear kazi imenibana sana siku hizi .i realy miss yu chit chat guys i miss yu siwezi sema ila ngoja nitafute ada ya watoto january hiyo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Thank you Nivea..I am doing well thanks to the lord of our planet, I hope you're doing well too. Pole sana, juhudi zako za kusukuma lile gurudumu zito na kulifikisha mlimani zinaonekana sana. Kusanya michuzi kwanza kisha nafasi ikiruhusu basi utazuka CC kwa raha zako. Have a lovely and enjoyable weekend πŸ™‚πŸ™‚

Thou its too late for me to see this BAK your my good bravo cheers .how you doing my dear kazi imenibana sana siku hizi .i realy miss yu chit chat guys i miss yu siwezi sema ila ngoja nitafute ada ya watoto january hiyo hapo.
 
Last edited by a moderator:
Thou its too late for me to see this BAK your my good bravo cheers .how you doing my dear kazi imenibana sana siku hizi .i realy miss yu chit chat guys i miss yu siwezi sema ila ngoja nitafute ada ya watoto january hiyo hapo.
My twin upo? missed u......
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…