Shukrani E FM

Shukrani E FM

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Ni burdan kwa kweli kusikiliza vipindi kuanzia Joto la Asubuhi mpaka Sports Hq.

Wameamua kucheza musiki wa zamani kama kukupoza hivi, yaani raha isokuwa na maelezo. Najua pana wapiga chabo watawafuata katika vipindi vyao kwa kucheza nao miziki ya zamani.

Namuomba Gerald Hando apunduze mihemko katikati ya muziki kwani unaninyima raha bwana.

Hongera sana E FM kwa ubunifu huo.
 
Back
Top Bottom