Shukrani Azam TV

Shukrani Azam TV

ukuta2013

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
275
Reaction score
98
Hakika nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa uongozi wa vingamuzi vya Azam TV kwa kutuletea Star Tv inayopatikana channel 113.

Watumiaji wengi wa kingamuzi hicho walikuwa wanakimisi kipindi pendwa cha dira ya dunia kinachorushwa na star tv Saa 3:00 - 3:30 usiku Jumatatu - Ijumaa.

Kwa niaba ya wote, tunawashukuru sana kwa kusikia vilio vyetu, sihami tena.

Jumapili njema nyote
 
Big Up Bakhresa na Team Yako na Kuwashukuru Uongozi wa Sahara Media kwa Kufikia Muhafaka maana haya mambo huwa yana kizungulumkuti(Conflict of Interest).
 
mbona kwangu haionyeshi na nimejiunga kwenye kifurushi cha azam play? najaribu kuwapigia lakini simu yao inaita muda mrefu bila kipokelewa! inaandika access denied.wadau wenye utaalam waniambie!
 
Wanaukumbi habari za leo??
Nime-update king'amuzi changu cha Azam na kukuta wameongeza channels kibao ikiwemo hiyo.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Azam TV kwa kuongeza channels leo asubuhi ikiwemo TV malawi na Star TV hapo mmenikuna sana. Hongereni na hakika mnafanya vizuri sana.
 
naonba kujuzwa chanel gan za bongo na kenya zninzipatikana azam!? je wanyama ni ngap!? mziki je!? nahitaji majibu
 
naonba kujuzwa chanel gan za bongo na kenya zninzipatikana azam!? je wanyama ni ngap!? mziki je!? nahitaji majibu

Mkuu channel za bongo ni
ITV,Star TV, Channel 10, EATV, TBC1, ZBC1 &2, Clouds TV, Azam 1&2 nk.

Za kenya ni

Citizen, KBC, K24,NTVKenya, na KTV

Channel za wanyama specific sijaona but kuna docummentary channels km NatGeo, Viasat Nature/History, na Discovery science.

Mziki kuna

Box TV, MTV

Nadhani nimekujibu mkuu.
 
Hivi gharama kwa mwezi ni kiasi gani. Na ili upate channel za cartoon za watoto nilipie kiasi gani. Nsuliza hivi coz mwanzo nilikuwa nalipa 12500 napata zote naza watoto. Ila sasa sipati kabisa nanimelipia mara 2
 
mkuu wana vifurushi vitatu siku hizi kuna cha 10000 cha 15000 na cha 20000 km sikosei. Mimi huwa nalipia cha 20000 napata zote tuu.
 
Back
Top Bottom