Shukrani Azam TV

Shukrani Azam TV

Hongereni sana AZAM Media kwa hili.
Maana Dira ya Dunia nilikuwa naikosa sana.Futuhi ndio kabisaaa

Na kwa kasi hii,natumai mwakani Ligi ya Uingereza tutaiona.
Maana ye Kenya Tunaiona,ya Uganda Ndio nyumbani kabisaa maana Mdhamini mwenyewe ni AZAM na inaitwa Uganda Azam Premium League kama sikosei.
 
Bado sijaipata star tv ,nime auto search lakini chenga
We Bandu vipi,Dekoda za Azam TV ni za kisasa kweli.Maana haina haja ya kusearch Channel mpya.
Ina ji auto seach yenyewe bila hata kuguswa.Mie Tv ilikuwa wazi basi ikaja bar ya kuji autoseach muda nakuta Star tv ndani.
 
Ndugu yangu labda kisimbuzi changu ni fake ,sijaona chochote wala sikujua azam wameongeza star tv na channel nyingine mpaka nilipopitia uzi huu,nilivyo auto search nimepata channels nyingine zilizoongezeka lakini channel 113 ya star tv bado sijaipata
 
Basi ipe muda kiongozi,maana hata mie kuna jamaa aliniambia kwake haijaingia,ila jioni hii kaniambia tayari imeishaingia.
Sasa nahisi mfumo wao ni kama wa network ya sim vile au zile sms za mitandao ya sim,kwamba haziingii pamoja.
Ipe muda hadi kesho,maana Star tv imeingizwa leo.
 
Nilikuwa nasumbuka sana ikifika Saa tatu Usiku Dira ya Dunia na Asubuhi Tuongee lakini kwa sasa yani Full Handaz. #Bakhresa_Miaka_100.

AZAM LIVE STARTV.jpg
 
me kwangu tangu asubuh star tv inashika vizuri na redio zote za rfa na kiss fm zimeshika leo
 
Yaani tunashukuru sana azam tv hakika nyie mnaongoza wengine wanajikongoja...
 
mbona kwangu haionyeshi na nimejiunga kwenye kifurushi cha azam play? najaribu kuwapigia lakini simu yao inaita muda mrefu bila kipokelewa! inaandika access denied.wadau wenye utaalam waniambie!

we ni msukuma au! maana wasukuma nao kaazi kweli kweli.
 
Kuna channels nyingine zimeongezwa ila nazo hazifunguki kama QTV,TVM Malawi nk. Mwenye tarifa zaidi
 
Kuna channels nyingine zimeongezwa ila nazo hazifunguki kama QTV,TVM Malawi nk. Mwenye tarifa zaidi
Zipo kwenye mchakato,urushwaji wa hizi Channels unaweza huku ukawa umeruhusu ila system za channel hizo zikawa hazijawa formatted kuruka moja kwa moja.Na hili linakuwa sio tatizo kwa AZAM ni tatizo kwa wenye hizo Tv.Tambua kwamba channel yotote inayounganishwa inatakiwa kuwa na kibali na mkataba maalum.
Kwa hiyo ukiona imo kwenye list na bado inasumbua,basi jua makubaliano yote yapo sawa ila ni suala la system tu.
Juhudi zinafanyikwa kuwasiliana nao ili kuweka sawa.

Aisee nimejifanya kama mtaalam vile,haya inawezakana ikawa hivyo
 
Pia wameongeza channel kibao za kihindi......hapa lazima wakamate wahindi vibaya sana....
 
Mbona channel za kihindi ndio zimeongezwa nyingi,utadhani tupo Bombay?wekeni channels za lugha ya Kiingereza hasa zile za habari kama CNN.SkyNews n.k
 
mfianchi hawa watakuwa wametaget soko la wahindi pia. Lakini naona wanakwenda vizuri...... wakipata channel ya kuonesha EPL hata mara chache kwa wiki itakuwa hatua kubwa sana...
 
Last edited by a moderator:
Haikuwa rahisi kwangu kuamini kama Star TV tayari inaonekana kupitia king'amuzi chenu,kusema kweli hapa binafsi mmenikuna kisawasawa.Nawapongeza sana Azam!
 
Naona mastesheni mngine kama NHK world,za mpira za kiarabu,maredio kibao na hata Malawi TV ...duh,hatarii sana
 
Back
Top Bottom