Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Mawe yapo tu 😁 maana mti wenye matunda ndio upigwao mawe !!
 
Ndio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio[emoji20]

then yy ndio aojiwe pekee kati ya wote waliokuwepo

tafakari
Wewe ni mvuvi!?

Kama ndio hebu tueleze wewe kutoka 'site' alichofanya Majaliwa ili tuone hayo madhaifu yake.
Kama sio mvuvi kwenye ile ajali..tulia!
Tunataka wavuvi husika walalamike, sio nyie wakaanga mbuyu.
 
La ziada la kuongezea
Ziwa lina mamba na viboko ila jamaa akaamua kuingia mzima mzima
Mimi juzi tu nilivuka mto ruvu maji ya mapajani lakuni nilipofika katikati mwili ulisisimka lilipokuja wazo kuna mamba ndani ya huu mto.

Sent
 
Hizi zote ni dalili za wivu tu. Binadamu huwa tuna hulka ya wivu kwa wenzetu wakifanikiwa sijui tukoje?, Mwacheni mtoto wa watu. Unaposema maswali ni mengi kuliko majibu, si ujibu wewe sasa kama unayo majibu?
 
La ziada la kuongezea
Ziwa lina mamba na viboko ila jamaa akaamua kuingia mzima mzima
Mimi juzi tu nilivuka mto ruvu maji ya mapajani lakuni nilipofika katikati mwili ulisisimka lilipokuja wazo kuna mamba ndani ya huu mto.

Sent
Mamba na viboko wakisikia kelele nao huwa wanaogopa hawawezi kusogea karibu na hizo kelele !!
 
Wewe ni mvuvi!?

Kama ndio hebu tueleze wewe kutoka 'site' alichofanya Majaliwa ili tuone hayo madhaifu yake.
Kama sio mvuvi kwenye ile ajali..tulia!
Tunataka wavuvi husika walalamike, sio nyie wakaanga mbuyu.
Umenena
 
Acha wivu tu mkuu. Imeisha hiyo
 
Aliyefungua mlango wa dharura ni cabin attendant si Majaliwa kwanza ukiwa nje ya ndege huwezi kufungua mlango kwakuwa hakuna access ya kifungulio.
Sawa ila aliyekuwa anaokoa kuwapeleka Juu si Majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…