Shuhudia Mwenyewe: Ukishamaliza kumuogopa Mungu iogope hii kitu inaitwa sayansi na teknolojia

Kabisa mkuu,kapunguza heshima yake
 
Hawa watu mbona wanaonesha wachovu saana tu. Tairi zimekuwa kipara hata hazijabadilishwa tangu huko Dubai. Zitafika mpakani kweli au?? Nadhani wakiifuatia gari kwa bodaboda watawakuta njiani wakibadili tairi, kisa pancha. Hawa watekaji hovyo sana
Hahahaha
 
Kuna hawa vijana huwa wanaranda mitaani kwa mbwembwe huku wamevalia vile vikoti vya khaki na SMG zao wakiwa ndani ya Toyota Land Cruiser Pick Up zenye plate namba ambazo sio za hapa kwetu Tanzania.

Je hizi plate namba wanazipata wapi?
Watakuja mkuu kukujibu..
 
Hawa watu mbona wanaonesha wachovu saana tu. Tairi zimekuwa kipara hata hazijabadilishwa tangu huko Dubai. Zitafika mpakani kweli au?? Nadhani wakiifuatia gari kwa bodaboda watawakuta njiani wakibadili tairi, kisa pancha. Hawa watekaji hovyo sana
Tz hii ni ya wahuni
 
Kwanza kabisa, CCTV system huwa inarekodi video na siyo picha za mnato. Hizo picha haziwezi kutafsiriwa kuwa CCTV footages kwa sababu kinachorekodiwa ni video (movements),
Lakini pia picha za Cctv zionyeshe tarehe juu kulia au kushoto kulingana na settings, pamoja na channel number ya hiyo camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…