Mkuu ni kweli au unafanya uchochezi? Maana mimi ndiyo kifurushi changu hicho...vyuma vimekaza!Mchezo huu utaruka kupitia chaneli ya SS10 namba 210 ndani ya kifurushi cha BOMBA kwa shilingi elfu 19 tu. Leo hamna haja ya kwenda bandani, asanteni Dstv.
Bando lako tuKwan mobdro wanakuaga na ghrama gan?
Mobdrodah mi mlala hoi wa startimes ntastream tu kwe cm yangu,mwenye app nzuri isiokwamakwama anijuze ili nipate alternative maana hii ya sasa cku ikiamka vibaya ni tabu ht kufunguka haifunguk
Hata mimi nimeona tangazo lao, kwa kifupi ni kweliMkuu ni kweli au unafanya uchochezi? Maana mimi ndiyo kifurushi changu hicho...vyuma vimekaza!
Mobdro muda mwingine wanazingua laggs sana..Mobdro
Mobdro muda mwingine wanazingua laggs sana..
Jaribu kucheki hizi apk.. BurmaTv na BenBoss
Lakn hyo SS10 inakuwa sio HDHivi ndo vitu vya kukumbushana aisee, dstv mbabe wa HD