Shuhudia mechi ya Barca Vs Chelsea kwa kifurushi cha Bomba ndani ya Dstv

dah mi mlala hoi wa startimes ntastream tu kwe cm yangu,mwenye app nzuri isiokwamakwama anijuze ili nipate alternative maana hii ya sasa cku ikiamka vibaya ni tabu ht kufunguka haifunguk
 
Mpira wa kujificha ndani hauna raha kabisa..

Messi kamwahidi mwanae kuwa leo atamletea mpira, sasa sijui Chelsea mmejipangaje!!
 
Back
Top Bottom