Shuhudia janja ya CCM, nimewavulia kofia!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,910
Reaction score
101,382
Hii ndiyo CCM, wahni wakubwa,
Siku za nyuma, Walitoa tangazo la kuwataka vijana/watu watume maombi ya kusimamia/kuandikisha wapiga kura. Hawakuita hata moja walichofanya sasa, vijana waliojiandikisha kuomba kijikazi hicho wapate ka posho, kazi hiyo, wameambulia kupewa kadi/vitambulisho vya CCM!
 
Ya ukweli hayo?
 
Back
Top Bottom