Shtuka..! Unaibiwa

Nimerudi kwa ajili yako.

Yaani mimi kama wewe ukiona najipendekeza kwako na kujaribu kukuzoea ujue NAKUTAKA.

Na ukinikataa ujue nitaishia tu kukufanyia wema wa kawaida ila ule wema wa ziada sikufanyii.
Uuuwiii. Umeshachelewa sasa kwani ameshaniwahi Sesten Zakazaka Poole. 😂😂😂😂

💃💃💃💃💃💃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…