Shtuka mtoto wa kike

Shtuka mtoto wa kike

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,200
Salam kwenu wakuu,

Watoto wa kike au wasichana shtukeni muda sio rafiki

1: Miaka 3 unagandana na mme wa mtu alafu unawakataa vijana unajizibia mwenyewe riziki kutwa kwa wachungaji eti unatafuta mume wakati unatembea na mume wa mtu, shtuka Mungu anakuona.

2: Mtoto wa kike una watoto 2 kila 1 na baba yake alafu unaweka sifa za mwanaume unaemtaka akuoe, shtuka utazeekea nyumbani wewe.

3: Msichana unafika geto kila kitu kimo ndani unaulizwa tule nini, unadakia tukanunue chipsi, shtuka wanaume hatuowi ujinga ujinga sisi.

4; Umeahidiwa mtoko na baby wako bahati mbaya siku imefika anakwambia mama yake anaumwa anahitaji pesa, anakuuliza mtoke au amtumie mama yake hiyo hela, unajibu kwa kujishaua tutoke baby nawaamini kaka zako watamtumia, siku zako zinahesabika wewe.

Ni hayo tu kama unalakuongezea ili dada zetu hawa washtuke tupia tu mdau
 
Salam kwenu wakuu,

Watoto wa kike au wasichana shtukeni muda sio rafiki

1: Miaka 3 unagandana na mme wa mtu alafu unawakataa vijana unajizivia mwenyewe riziki kutwa kwa wachungaji eti unatafuta mume wakati unatembea na mume wa mtu, shtuka Mungu anakuona.

No 2 mbili nimeipenda
 
Alikuomba ushauri?
 
Ujumbe huu ni kwa wasichana wote wenye mambo hayo mkuu
 
Mkiacha kuwazalisha hovyo hawatazaa hovyo....
Sijawah kumtia MTU mimba Mwakani ndo Nataka kuwa Big Daddy by the way wengine munataka wenyewe
1474807838187.jpg
 
Dah! mada ka hizi huwa zinawaumiza sana, wanatamani warudi ujana wao.
 
Back
Top Bottom