Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?

Kwenye biblia hakuna verse yoyote yenye mahausiano kuonyesha walikuwa wazungu.

Yesu hakuwa mzungu hata ndugu zake waisrael hawakuwa wazungu. hichi ndicho kinawafanya wahangaike na hayo masanamu yao.

Na nina alisema Yesu ni mzungu Kama sio wewe(na dini yako ya majini)
 
πŸ‘ΌπŸ‘ΌπŸ‘Ό
 
Hongera kwa uandishi mzuri boss. Yesu ni mtu ninayemkubali sana, naomba uendelee kwa nini tuaamini hiyo sanda ndiyo aliyolazwa bwana Yesu huku kipindi hicho waisrael wengi waliofia msalabani walikuwa wakizikwa na sanda hizo
 
Shukraani
Nakukaribisha sehemu ya pili mkuu itakuwa na uchambuzi wa kutosha
Kareebu
 
Kuzikwa bila nguo ndio kutakuingiza mbinguni?

Je kutembea au kupiga mswaki kama Yesu ndio kutakuingiza mbinguni?

Shughulika na roho , Na sio mwili unaooza
Unamaanisha hata kutembea na mavi poa ila tushughulike na roho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…