kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 1,870
- 3,492
Hawa ni wakristo ambao wamekua wakiipinga waziwazi Kazi ya Yesu Kristo, hawana umoja kazi yao ni kunyoosheana vidole wakimponda mtumishi fulana au dhehebu fulani. Mfano mzuri ni wakristo walioamua kutumiwa na BBC kuuvuruga mwili wa Kristo.
Wakristo mjiulize. Ni lini mliwaona au kuwasikia Waislam, Wahindu, Wabudha n.k wakipondana na kukashfiana wao Kwa wao hamjiulizi TU kwanini ni nyinyi wakristo ndio mnapondana hamuoni kama mnatumika?!.
Leo utasikia wasabato wanawasema vibaya wakatoriki, wachungaji wanashambuliana, manabii wanasemana vibaya kwamba huyu ni washetani huyu ni WA Yesu n.k BADIRIKENI.
Huyo mhubili (RIP) aliyeanzishiwa documentary na BBC huku mashahidi wakiwa ni wakristo wenzake nadhani anaweza akawa ni mhubili aliyeshambuliwa kuliko mhubili yoyote katika karne hii. N.B. ZA KUAMBIWA MCHANGANYE NA ZA KWENU.