Slim curvy hamruhusiwi Humu🤣😄



Shida Mshana Jr mbishi sana
Asee unakojolea pazuri aseeeShida Mshana Jr mbishi sana
Kula chuma iyoView attachment 2882094
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufika huko kunahitaji mahela 🫣You have to be like this😀😄
View attachment 2882395
Acha uoga😄😂, asubui tikiti moja, chapati za mafuta ya samli 5.Kufika huko kunahitaji mahela 🫣
Afadhali nyie mlikuwa na mkasi😄, mi nili wahi jinyoa kwa wembe🤒
Super happy family 😄
Mpaka hapo niseme tu mission failed maana hapo mihogo na kisamvu tu ndo vitapita.🥴🥴Acha uoga😄😂, asubui tikiti moja, chapati za mafuta ya samli 5.
👉Mchana juisi ya maparachichi glass 5, maboga 2.
Jioni- uji wa ulezi chupa 2, ugali wa muhogo na kisamvu😂😄🏃🏃.
👉 Utakuwa super tank Dr Lizzy