Watu wa chuga hatujawahi kufeliSafiiiii
Nimeona na sign yetu 😂😂
Cheers 🥂Watu wa chuga hatujawahi kufeli
Eh sasa ww em subiri kesho pakuche nianze kupiga picha maeneo 😂
Nani my wako ?Unateseka ukiwa wapi my wangu?
All right, soon nta kucheki.Vyovyote utakavyo.
Lina ezaa kumeza hilo 😃🤒
Huku uwepo usiwepo tumezoea vibatari vyetu.Hatuna makuu.What happens happens.mshamba_hachekwi walitangaza kwa mbwembwe kwamba Arusha nzima hamna umeme mpk jioni.
Cha ajabu huku chini wamerudisha saii.. 😂😂 mama anaupiga mwingi
Tui kuna umeme huko Ngare?
Haha vipi? Mbona nipo mkuu..Leo umeenda wapi Depal? Unanitia wasiwasi.Wewe sio soft soft nilikuwa nakutania.
Nilipoona hiyo picha ikanishtua.Nikafikiri unataka ku prove a point.Nimekoma wewe sio soft soft tena.Nisamehe.Haha vipi? Mbona nipo mkuu..
Picha gani? Ile si picha tu ya crater? Ina prove vipi usoft?Nilipoona hiyo picha ikanishtua.Nikafikiri unataka ku prove a point.Nimekoma wewe sio soft soft tena.Nisamehe.