Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Jobless sija pata kazi leo๐ค
Mkuu Asante kwa sarcasm zako, nipe hata ulinzi Basi๐คKumbe huwa una kazi...
Hongera sana,Mr jobless
Nitakupa kazi gani mtu humfahamu?Mkuu Asante kwa sarcasm zako, nipe hata ulinzi Basi๐ค
Madawa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ, mkuu USI thubutu maana UTA Rogwa๐คNitakupa kazi gani mtu humfahamu?
Nitakuiba nikusafirishie madawa tumboni kijana.๐คฃ
Huna hofu na binadamu wa JF?Madawa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ, mkuu USI thubutu maana UTA Rogwa๐ค
We nipe deal, kuhusu binadamu wa jf- I met few of them wako poa.Huna hofu na binadamu wa JF?
Mimi ni jambazi,jangili,Drug smuggler na hapa lazima nikutumbue tumbo to mexico.
Uko tayari nikupatie kazi?๐คฃ
View โ๏ธ Mbaga Jr ๐ View attachment 2870567
Nahofia deals zitakudhuru kijana mdogo hata ngumi huwezi rusha.We nipe deal, kuhusu binadamu wa jf- I met few of them wako poa.
๐ Killing me isn't easy as you think.
Uki taka kuni piga ndo uta jua, nina mafunzo ya taikondo na mieleka.Nahofia deals zitakudhuru kijana mdogo hata ngumi huwezi rusha.
Ushukuru Mungu uliokutana nao ni wakarimu ila mimi binadamu wa hatari,intimidating from looks to soul na matendo ya unyama.
Usisahau kumuaga mama ukiwa tayari,sawa kid?๐คฃ
Hii ndio inanifanya nifahamu nawasiliana na kijana wa aina gani๐คฃUki taka kuni piga ndo uta jua, nina mafunzo ya taikondo na mieleka.
๐nita kubonda, leta deal nasubiri Sasa๐ค
Mkuu niko nanjilinjii ๐ค, so Ina bidi mpaka nisafiri.Hii ndio inanifanya nifahamu nawasiliana na kijana wa aina gani๐คฃ
Ok,fika hapa tandale chaap chaap tugawane maarifa.
So deal ikufuate ulipo?Mkuu niko nanjilinjii ๐ค, so Ina bidi mpaka nisafiri.
๐Afu uko tandale, nita kuwa namu ulizia Zulu man was if au๐๐คฃ๐ค
Soon bro, sema kwa hizo threat acha Nita fute Glock 30 ๐ค.So deal ikufuate ulipo?
Ukifika utapata maelekezo ila kimuonekano i got sword slashes on my face,a gunshot scar on the left cheek na tattoo kwenye kiini ya macho.
How can you survive na hizo 10 rounds kwa mtu usiyefahamu anatokea wapi?Soon bro, sema kwa hizo threat acha Nita fute Glock 30 ๐ค.
1 shot - 4 targets, au nije na magnum ๐๐คHow can you survive na hizo 10 rounds kwa mtu usiyefahamu anatokea wapi?
R.I.P ๐คฃ
Vyovyote utakavyo.1 shot - 4 targets, au nije na magnum ๐๐ค