Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,399
- 20,580
Ukifuatilia vizuri huu mkasa utagundua kitu km hufuatilii huwezi kugundua kitu utabikia kua bendera fuata upepo, kwa ufupi tu Scoan ni km secret society na hawataki kuweka wazi maovu Ila waliotendewa na waliofanya kazi hapo ndio wanaosema nini kimekua kikiendelea kwa zaidi ya miaka 20Kuna mambo ambayo nikipata taarifa kwenye hivyo vyanzo nitaamini ila hii ya TB Joshua bado sijapata uhakika zaidi,kuna yeyote anayeweza kuchambua/kufuatilia tangu mzozo wa Tb joshua 2014 ikihusishwa na BBc pia?