Show za kibabe

Show za kibabe

😔😔😔
Ushuhuda kutoka kwa watu kadhaa walionusurika unaonyesha kuwa TB Joshua alikuwa akiwanyanyasa na kuwabaka wanawake vijana kutoka kote ulimwenguni mara kadhaa kwa wiki kwa karibu miaka 20.
 
Hao Wana piGania usimamizi was Mali, so hizo ni janja janja tum
 
Screenshot_20240110-233218.png
 
Kaka tafuta chanzo halisi, hizo ni story hata wewe una eza sema.
👉BBC wame yumba mno, hizo SI hata wewe una weza sema uli rogwa😀😁
Vyanzo nnavyoviamini ambavyo vinazama ndichi mpaka shimoni huko wapo tayari kufa kusaka habari

1. Al Jazeera - hawa wakirusha chochote nakiamini maana naona moja kwa moja kutoka site eg. Vita ya Israel na Hamas

2. DW - hawa wakirusha chochote nakiamini maana wanazama mpaka huko Congo Goma kwa M23 wanawafuata M23 wenyewe wanaenda kupiga nao story na kitu tunapewa moja kwa moja

3. BBC - hawa sio wa Jana wala juzi wakitua chochote kwenye media zao nakiamini maana hawanaga janjajanja sio chombo habari kanjanja km vyombo vyenu vya kuokoteza okoteza udaku wa hapa na pale kwa hio kwa habari ya Joshua nawaamini walichokifanyia utafiti kua km kuna uongo basi ni asilimia chache Ila asilimia nyingi ni ukweli

4. CNN - hawa ilikua zamani hizo Ila siku hizi wamepotezwa hawaonekani tena wakizama kwenye habari hatarishi na haijulikani wamepotelea wapi

Kwa hio hivyo ndio vyanzo vyangu nguli ambavyo vikitoa habari naziamini kwa asilimia zote bila wasiwasi wowote, yaan hao wakiibuka kesho na kusema Mwmposa kafungua vituo vya mafuta ya upako kila Mkoa na kuna mazombi wananunua sitokataa maana wanasema ukweli, unajua maana ya zombi?
 
Dah kwamba hivyo vyanzo viko 100 percent 🤣😀😂.
👉 Zulu man, Mshana Jr mna la kushauri hapa🤔😀
 
Sijasema 100 nimesema km ni uongo basi ni % chache kuliko ukweli, we unafikiri ni km vyanzo vyenu kanjanja udaku udaku Goodluck Gozbert kasema hivi wanakata kile kipande cha mwanzo wanaweka kipande cha uchonganishi wanaunganisha na kipande kingine cha uchonganishi alafu wanarusha ili wapate viewer na followers?
 
And the same time hao BBC, wakawa Wana pindisha kuhusu Vita vya Ukraine😀😂🤣.
 
Dah kwamba hivyo vyanzo viko 100 percent 🤣😀😂.
👉 Zulu man, Mshana Jr mna la kushauri hapa🤔😀
Kuna mambo ambayo nikipata taarifa kwenye hivyo vyanzo nitaamini ila hii ya TB Joshua bado sijapata uhakika zaidi,kuna yeyote anayeweza kuchambua/kufuatilia tangu mzozo wa Tb joshua 2014 ikihusishwa na BBc pia?
 
Shida ime and kwenye umiliki was Mali za kanisa, kulikuwa na kesi mahakamani.
👉Mke wa marehemu aka shinda, naona ni mbinu za kuli yumbisha kanisa.
👉Why taarifa isi toke akiwa hai??,
👉Kama ni kweli, Kuna ushahidi wa kitabibu zaidi??, Kuonesha ni kweli wali ingiliwa kimwili??
👉Maana maneno hata mi naeza sema Nili mpiga Zulu man 🤣😂
 
Oh yeah,maneno kila mtu anaweza kusema na kama ushahidi unapatikana, waweke watu wathibitishe hilo

Hapo sasa mfano wa kumpiga zuluman,inaonekana kijana unapenda sana ukorofi🤣

Kanyonye huko
 
Back
Top Bottom