Show za kibabe

Yes mkuu, huku ndio Aden ilipo, sijawahi fika, ndio mara ya kwanza kutembelea huku, ni kuzuri balaa na hii Pass ya kutoka pale Mombo ni super, ila pls wabunge saidianeni muikarabati kabla haijawa mbovu zaidi
Karibu sana Lushoto[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wanapaita Venice ya Netherlands, mji mdogo uliopo Netherlands ambapo barabara hakuna, njia zote ni za maji, mgeni akija na gari inabidi apaki nje ya mji na apitie kwenye canals kwa kutumia mitumbwi midogo. Kila nyumba nje wana parking za mitumbwi, kama unatoka out kwenda bar kuzimua kidogo mtumbwi unakuhusu, ukilewa ukazama majini ajali kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…