[emoji817] [emoji817] [emoji817]"You should never view your challenges as a disadvantage. Instead, it's important for you to understand that your experience facing and overcoming adversity is actually one of your biggest advantages"-Michelle
This woman is something else, i find she's smartest FLOTUS next to Eleanor Roosevelt.
Tumuombee
Kaka umekubali ombi langu la kunisindikiza kupeleka kale kamzigo kwa mlengwa?Hawa watu wana upendo wana amani ni wa kweli ndio maana kwenye utawala wao sijawahi kusikia siku hata moja wamepatwa na maradhi ya shinikizo la damu wako hospital kwa matibabu, haya ya kwetu yamejaa chuki ubabe kisirani kutwa kwenda mahospitalini na fedha za maendeleo ya nchi, yamejaza sumu yanajimaliza yenyewe.
Haahaahaahaa! nitakusaidia kupeleka lakini tupeleke mbao mojamoja tukifikisha mzigo tumuachie yeye kazi ya kuunganisha ili aweze kupata umbo la zawadi yake.Kaka umekubali ombi langu la kunisindikiza kupeleka kale kamzigo kwa mlengwa?
I miss you mwasuHaahaahaahaa! nitakusaidia kupeleka lakini tupeleke mbao mojamoja tukifikisha mzigo tumuachie yeye kazi ya kuunganisha ili aweze kupata umbo la zawadi yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukutane photos uone mzigoHaahaahaahaa! nitakusaidia kupeleka lakini tupeleke mbao mojamoja tukifikisha mzigo tumuachie yeye kazi ya kuunganisha ili aweze kupata umbo la zawadi yake.
Miss you more my dear!I miss you mwasu
Nakuja mkuu ngoja nipitie na kwenye mavazi sijui rangi gani itamfaa kuingia nayo humo kwenye nyumba, nadhani nyekundu ni best kwake au sio? kasuti flani hivi kekundu .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukutane photos uone mzigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji817]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naunga mkono hoja ya Mkuu General Galadudu, mara ya mwisho ilikuwa story ya Ras Nyoka tena nayo ilichakachuliwa sana mapaka utamu haukuwa wa viiile.
Mkuu leta nyuzi bana.
Hilo la ushoga tumejaza unafiki tuu. Tuukubali au tuukatae, huo ushoga upo ndani ya jamii kwa kiwango kikubwa na tuache kusingizia nchi zingine kwamba ndio zinaueneza huku kwetu.Kumbuka hao hao walitaka tukubali ushoga na hilo ungelisifia uone comments utazopata .
Nyekundu mkuu ingemfaa maana jamaa utadhani katokea msitu wa gamboshi kila akiibuka ni mateso tu, aa sina hamu nae.Suti ya kijivu [emoji125] [emoji125]
Ha1 mkuu ataonekana kweli maana wanaweza sema hajavalishwa nguo.Nyekundu heshima iwe nyeusi tii