Show za BET Awards

Show za BET Awards

Jahman85

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
217
Reaction score
113
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuzipata hizi shows online "full" sio vipande vipande
 
Vipi mkuu huwa unazipata na zilizopita?
Marudio yanafanyika mara baada ya kutoka Kwa tuzo tu lakini baada ya hapo hawaoneshi tena mpaka msimu mwingine wa tuzo....
Tofauti na BET music awards hawa jamaa wako poa Sana vipindi vyao sometimes unaweza kuona tuzo za kitambo za hip hop au live concert za miaka ya 90's
 
Back
Top Bottom