Larry Madowo Donates Ksh129K Award to Support Young Kenyan Journalists

Larry Madowo Donates Ksh129K Award to Support Young Kenyan Journalists

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
414
Reaction score
259
CNN journalist Larry Madowo ameahidi kudonate Ksh129,000 alizoshinda baada ya kutajwa Human Rights Defender of the Year ili kusaidia young Kenyan journalist anayoreport issues za community.
Madowo alisema pesa hizo zitaenda kwa emerging journalists wenye wanafocus stories za social justice, governance na maisha ya kawaida ya wananchi.

“Award hii si yangu pekee. Nataka kusaidia next generation ya journalists wenye wanaangazia truth kwa community,” alisema.

The award also recognised his fearless reporting on protests, human rights abuses na press freedom Kenya na East Africa.

Madowo amekuwa akicriticize serikali zinazobana media freedom huku pia akipitia online attacks na intimidation kutokana na kazi yake.
Wakenya wengi online wamepongeza move yake wakisema ni motivation kwa vijana wanaotaka kuingia journalism.

1779961698874.png

Source : the star.co.ke
 
Back
Top Bottom