mwanafistula amekwisha,hata hana nyimbo za maana za kutufanya tuende kwenye show yake

Unawasaidia mashabiki wa bongo flavour kujua mbichi na mbivu.Faida ya huu uhasama unamsaidia nani?
Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'.
Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka kwani kilichotokea ni masikitiko zaidi ya furaha.
Show yake ilikosa msisimko uliotarajiwa kulinganisha na show ya mwanamuziki Lady JD ambayo ilikuwa siku hiyo hiyo.
Hizi hapa chini ni baadhi ya hujuma za makusudi ambazo mwanaFA amefanyiwa:
1/Kitendo cha Wadhamini na waandaaji wa show yake kulazimisha show hiyo ifanyike siku moja na ile show ya Lady DJ (Kuna mashabiki wa MwanaFA wengi waliogopa kwenda kwenye show yake ili kukwepa kuonekana ni maadui wa Lady JD)
2/Kuna watu walikuja na kutangaza kuwa tayari tiketi za show yake zilikuwa zimekwisha wakati kiuhalisia tiketi bado zilikuwa zinapatikana kwa wingi mitaani. (Hichi kiliwakatisha tamaa baadhi ya watu waliokuwa na nia njema ya kuja kwenye show ile, kumbuka wabongo wengi hatuna tabia ya kununua tiketi kabla ila tunapenda mambo ya papo kwa papo)
3/Tetesi za kusema show ya MwanaFA na hata ya Lady JD huenda zingeahirishwa kufuatia msiba wa Langa (Kuna watu waliamini hili kwa kuwa hapo kabla alifanya hivyo kwenye msiba wa Ngwear)
4/Imani iliyojengwa kuwa Show ya mwanaFA ilikuwa imeandaliwa kwa makusudi na maalum kabisa kuharibu Show ya Lady JD (Mashabiki wengi hawapendi mambo ya visa vya kukomoana kati ya msanii mmoja dhidi ya mwingine)
Jide anaungwa mkono na umma usiyopenda dhulma. haujumiki.Kama ni hivyo kwa nini naye asihujumu show ya Jide.
Fatuma Amina...warwill(wawili)Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'.
Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka kwani kilichotokea ni masikitiko zaidi ya furaha.
Show yake ilikosa msisimko uliotarajiwa kulinganisha na show ya mwanamuziki Lady JD ambayo ilikuwa siku hiyo hiyo.
Hizi hapa chini ni baadhi ya hujuma za makusudi ambazo mwanaFA amefanyiwa:
1/Kitendo cha Wadhamini na waandaaji wa show yake kulazimisha show hiyo ifanyike siku moja na ile show ya Lady DJ (Kuna mashabiki wa MwanaFA wengi waliogopa kwenda kwenye show yake ili kukwepa kuonekana ni maadui wa Lady JD)
2/Kuna watu walikuja na kutangaza kuwa tayari tiketi za show yake zilikuwa zimekwisha wakati kiuhalisia tiketi bado zilikuwa zinapatikana kwa wingi mitaani. (Hichi kiliwakatisha tamaa baadhi ya watu waliokuwa na nia njema ya kuja kwenye show ile, kumbuka wabongo wengi hatuna tabia ya kununua tiketi kabla ila tunapenda mambo ya papo kwa papo)
3/Tetesi za kusema show ya MwanaFA na hata ya Lady JD huenda zingeahirishwa kufuatia msiba wa Langa (Kuna watu waliamini hili kwa kuwa hapo kabla alifanya hivyo kwenye msiba wa Ngwear)
4/Imani iliyojengwa kuwa Show ya mwanaFA ilikuwa imeandaliwa kwa makusudi na maalum kabisa kuharibu Show ya Lady JD (Mashabiki wengi hawapendi mambo ya visa vya kukomoana kati ya msanii mmoja dhidi ya mwingine)
Mkuu hizi hujuma hakufanyiwa na Jide mwenyewe lakini zaidi zilifanywa na waandaaji wake mwanaFA labda pasipokujua au kutokujali(miss the target) lakini pia baadhi ya mashabiki wa Jide hawakupenda Show ya MwanaFA ifanikiwe kwa kuwa walitaka show ya Jide ifanikiwe zaidi(Offensive mechanism)Kama ni hivyo kwa nini naye asihujumu show ya Jide.