Kipara kikubwa
Member
- Jan 8, 2011
- 99
- 30
Hakuna kitu cha namna hiyo hapa bongo, lema kaambiwa apeleke ofsni
Hapa speaker amefanya kitu cha mbolea mana angepoteza muda wa watanzania
Drama??lemma atawakilisha hoja yake offisin kwa speaker
Hapo ni ameahirisha Matatizo tu kwani muda alishapoteza kumpa lema siku tano. ngoma iko pale pale. lazima kitu kirudi bungeni, na kijadiliwe, ikishindikana wamuundie Kamanda tume, nawakicheza itakula kwa speaker.Tena vibaya sana, kiherehere chake cha kutosikililza vizuri na kurukia kwenye conclusion. Alitakiwa amskilize lema vizuri, siyo kujifanya alimwelewa Lema hata kabla ya kumaliza.Kwa hiyo jibu la swali la Lema kutaka kujua endapo mtu mwenye heshima na kuheshimiwa kama waziri mkuu, akilidanganya bunge anatakiwa apewe adhabugani, jibu la makinda ni leta ushaidi, mbona naye huyu mama ni kilaza kama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wake kumbe, asiejua mmiliki wa dowans.Hakuna kitu cha namna hiyo hapa bongo, lema kaambiwa apeleke ofsni
inda
Hapa speaker amefanya kitu cha mbolea mana angepoteza muda wa watanzania
Tupeni mambo wakuu, naamini leo Mh. Spika Anne Makinda leo anaelekea kufanya kosa lake la kwanza kubwa toka akabidhiwe cheo hicho!!
Mwambie ukweli bwana manake anajiona yeye ndo Mwanzilishi wa CCM, Hapa tunajadili public afeaz sio ushabiki wa kijinga.jEYKEYWAUKWELI YOU HAVE A VERY WEEK BRAIN! Suala hapa si brabra ni kuwa kosa lilifanyika na ama watendaji waliompatia PM majibu ambayo ni ya uongo hata akasema uongo bungeni ama Spika naye alikurupuka kudhani atamkomoa Lema, nimesema ktk post yangu juu kuwa busara ya jambo hili bila ushabiki, litatuliwe kiutuuzima na pengine watu wazima wamejua athari hizo ndo maana wameona si busara Lema kuwasilisha bungeni lingeleta taathira mbaya. Think as great thinker siyo shabiki. Hata kama ni Mwana CCM lazima kujua kuwa Umeya wa Arusha utatenguliwa na Mahakama kwani Mary Chatanda si diwani wa Arusha kwa mujibu wa Sheria ya serikali za mitaa na Mabaraza ya Miji. Hili lilisababishwa na uvivu wa kufikiri na kujipanga CCM uwezo wa kuchukua Umeya Arusha ungefanikiwa kama Mh Kikwete angeamua pengine kumteua Bi Batrida Burian kuwa Mbunge. Kwa Chatanda walikosea na hii ni sababu ya kutowatumia wataaalamu kwenye Chama na badala yake kukurupuka! Suala la Pinda Bungeni limeleta fedheha hata kwake, Pinda si tunayemjua asingekubali fedheha hizo, alilishwa kasa na watendaji na mi nadhani hapo anapaswa kuipitia repoer yote ya tukio la Arusha na kutaka ukweli zaidi ama atumia usalama wa Taifa wampatie taarifa za kweli. Styre hii aliitumia sana marehemu Edward Moringe Sokoine na hata Magufuli anaitumia japo pia Magufuli wakati mwingine ana mfumo wake wa kuapata na kutafuta taarifa ili kuwa na taarifa kamili bila hivo ina maana uanze kusoma wewe mwenyewe hakuna muda japo pia utamaduni wa kusoma vitu basic kama hivi hasa kwa muda mgogoro wa Arusha ulipoanza angeshakuwa na kujua ukweli upo wapi. Wtatue kiutuuzima na sisi watu wazima tutajua tu kama halijasemwa wazi basi imejulikana nani alidanganya na itajulikana kuwa kati ya hao wawili atakuwa nani ambaye amefanya suala hilo liseiwekwe wazi ni Lema ama PM ... WAKUBWA TUTAJUA na tunajua atajirekebisha kama binadamu ila si kama Spika alivosema kuwa PM hawezi kudanganya......Mi namwomba mama Makinda alinde heshima ya mwanamke.....asitekeleze matakwa ya watu..........ndoto zetu za kuwaamini wanawake zitakimbia na itakuwa amewachimbia wanawake wenzie kaburi ambalo kufukuliwa kwake ni siku ya ufufuko ama siku ya kiama. Jifunze na UGENDELAGE LUDODI, LUKAFU LULADENYEKA!
Wamechakachuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Spika ameagiza taarifa ipelekwe ofisini kwake kwa maandishi
My take: Wamepima impact itakayompata Waziri Mkuu iwapo itadhihirika kweli kwamba alidanganya bunge.
Mlishalikoroka sasa mnaanza kufunikafunika sio.... Mnatuletea udikteta... Hii sio bongo ya 47.. Mkikaa vibaya mtaondoka kwa aibu kama Hosn Mubrk.. You better be careful yoooooh!!!!