Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa.
Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia.
Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini!
View attachment 1365597
Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.