ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
kaazi kweli kweli
Alikuwa hajui kuwa Taarab inatosha kule Zanzibar? Tumezoea kurusha roho sio kuja kuona chupi za wanaume!Picha hii inasambaa mtandaoni, Kutoka Golden Creast Hotel Mwanza ambapo Diamond alikuwa na show jana kwaajili ya sikukuu ya wapendanao na kiingilio kinatajwa kuwa kulikuwa ni shilingi 20,000/- za kitanzania.
![]()
Msanii wa kizazi kipya Diamond katika baadhi ya "shows" zake hivi karibuni Zanzibar na Mwanza.
Picha mbili za mwanzo ni katika show yake ya Zanzibar 22 January Bwawani Pemba ambapo inasadikika palikuwa na watu wasiozidi 50 na viti vingine vyote vilikuwa tupu. Kiingilio kilikuwa 10,000 kawaida na 15,000 VIP.
Picha ya tatu (chini kabisa) ni show yake aliyofanya usiku wa Valentine Jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kiingilio kilikuwa 20,000
si wamegombana na mganga wake?au hujui?
si wamegombana na mganga wake?au hujui?
si wamegombana na mganga wake?au hujui?
Yeye analipwa mapema mkwanja wake ishu kwa promota hela yake kama itarudi