Show Ya DIAMOND Mwanza "KIMENUKA"

Show Ya DIAMOND Mwanza "KIMENUKA"

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Picha hii inasambaa mtandaoni, Kutoka Golden Creast Hotel Mwanza ambapo Diamond alikuwa na show jana kwaajili ya sikukuu ya wapendanao na kiingilio kinatajwa kuwa kulikuwa ni shilingi 20,000/- za kitanzania.

426001_484410031622996_2111337361_n.jpg


Msanii wa kizazi kipya Diamond katika baadhi ya "shows" zake hivi karibuni Zanzibar na Mwanza.

Picha mbili za mwanzo ni katika show yake ya Zanzibar 22 January Bwawani Pemba ambapo inasadikika palikuwa na watu wasiozidi 50 na viti vingine vyote vilikuwa tupu. Kiingilio kilikuwa 10,000 kawaida na 15,000 VIP.

Picha ya tatu (chini kabisa) ni show yake aliyofanya usiku wa Valentine Jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kiingilio kilikuwa 20,000
 
si wamegombana na mganga wake?au hujui?

Kwe kwe kwe kwe!!!lol nimecheka sana leo anapiga arusha mlangoni kawaoda 250000 kati 50000 na v.i.p aka pratinum city 150000 club mpya kisongo ya kina victor kichwa kikubwa mtoto wa jango master.
 
Ni yeye kweli? Basi kama ni yeye asubiri kampeni za CCM 2015
 
Mbona wakina dada ambao ndio kipenzi chake wamemtupa?
 
those who believe in satan were not surprised coz is the period of hard time.. kila la kheri mganga wa dimondi..
 
Siku hizi gold crest wanafanya birthday za watu!!! mmh.... pumzika kwa heshima diamod isije kua ka ya mr. nice
 
Kwe kwe kwe kwe!!!lol nimecheka sana leo anapiga arusha mlangoni kawaoda 250000 kati 50000 na v.i.p aka pratinum city 150000 club mpya kisongo ya kina victor kichwa kikubwa mtoto wa jango master.

Safi sana kama kijana anaendeleza miradi ya dingi yange pamoja sana watu wa kisongo <mji mpya>
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Diamond Platinumz[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Back
Top Bottom