show off: MtaaWaSaba.com

show off: MtaaWaSaba.com

Kitu kimoja, blog nyingi au site nyingi maarufu za habari za Tanzania ni mbaya, hazina mvutoo! Na ni kweli, wote mfumo wao mmoja matangazo nusu ukurasa halafu entries zinafuata! Kote kote, ndio hvyo hvyo hazikupi sababu kwanini uzisome!

Lakini hii, hii nzuri. It should be up there! Wengine waige. Maanake, taangu 2006 kuna watu blog zao ziko vile vile. Hata bgColor haija badilika! Hii nzuri, hongera!
 
Ha ha haaa!!! umenifurahisha sana mkuu...ndio maana tulikaa chini na mkuu wangu C6 kufikiria namna ambavyo tunaweza kutengeneza website nzuri na ya kisasa tofauti na nyingine ambazo tumezoea kuziona...website ambayo itakuwa rahisi kutumiwa na kila mtu.
 
Last edited by a moderator:
C6 nimepitia sijui ni kwasababu sielewi ubora wa hizi blog ama ni kwasababu ya ushamba wanu kwenye haya makitu. ila nimekulike kwasababu tu nimekoshwa na MTOTOSIX.COM DOWNLOADS
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom