Shouts out to Mary from Brooklyn

Shouts out to Mary from Brooklyn

Hiyo dume la Nyani haliogopi umande ndo nini?

Shade au?
Babu yangu alikua akiniambiaga Mjukuu wangu Maisha yanachangamoto ,ili mradi umezaliwa Mwanaume lazima upambane nazo.

Ndipo aliponisimulia kisa cha nyani Dume, yeye ata km umande uwe mwingi kiasi gan atapita tu...lkn nyani jike yeye atakaa juu yamtu mpaka umande ukwishe au apite mule alipopita Dume. ( kuyaelewa haya nisharit uwe umekulia kijijin ndanindani uko)

So hiyo ni Signature tu

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Hahahaaaa.

Haya bana, nimekupata vizuri kabisa.

Hapo Ubungo niaje...uko peke yako au uko na totoz?
 
Totozi zipo sema now zimekaa kimakundi makundi zinapiga story, nyingine zimelala.

Kuna moja iyo tupo seats moja , saiz siiongeleshi , naisubiri tukiwa ndani ya Basi ndo ijue Wanaume wa Dar ni walowezi toka mikoani.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Totozi zipo sema now zimekaa kimakundi makundi zinapiga story, nyingine zimelala.

Kuna moja iyo tupo seats moja , saiz siiongeleshi , naisubiri tukiwa ndani ya Basi ndo ijue Wanaume wa Dar ni walowezi toka mikoani.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"

Hahahaaaa.

Sawa sawa my dude.

Do your thang...
 
Kaka ngabu episode iko wapi ?

Tupe hii series kama zile ngabu chronicles.

Japo mi sio shilawadu ila fantasy ya Mary from Brooklyn inaweza nileta hadi Brooklyn nikakatiza hadi huko Manhattan na queens nikapata taste ya ile American dream

Japo nipo hapa buza round about ya kuelekea banana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom