Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,330
- 93,988
Nipo ubungo hapa macho mekunduuu nina safari ya mkoa kwaiyo sitaki kulala !!Carlos hulali leo??
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Nipo ubungo hapa macho mekunduuu nina safari ya mkoa kwaiyo sitaki kulala !!Carlos hulali leo??
Nipo ubungo hapa macho mekunduuu nina safari ya mkoa kwaiyo sitaki kulala !!
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Babu yangu alikua akiniambiaga Mjukuu wangu Maisha yanachangamoto ,ili mradi umezaliwa Mwanaume lazima upambane nazo.Hiyo dume la Nyani haliogopi umande ndo nini?
Shade au?
Babu yangu alikua akiniambiaga Mjukuu wangu Maisha yanachangamoto ,ili mradi umezaliwa Mwanaume lazima upambane nazo.
Ndipo aliponisimulia kisa cha nyani Dume, yeye ata km umande uwe mwingi kiasi gan atapita tu...lkn nyani jike yeye atakaa juu yamtu mpaka umande ukwishe au apite mule alipopita Dume. ( kuyaelewa haya nisharit uwe umekulia kijijin ndanindani uko)
So hiyo ni Signature tu
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Totozi zipo sema now zimekaa kimakundi makundi zinapiga story, nyingine zimelala.Hahahaaaa.
Haya bana, nimekupata vizuri kabisa.
Hapo Ubungo niaje...uko peke yako au uko na totoz?
Totozi zipo sema now zimekaa kimakundi makundi zinapiga story, nyingine zimelala.
Kuna moja iyo tupo seats moja , saiz siiongeleshi , naisubiri tukiwa ndani ya Basi ndo ijue Wanaume wa Dar ni walowezi toka mikoani.
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Sasa wacha nichaji simu asee !!..uwe na muda mzuri !!Hahahaaaa.
Sawa sawa my dude.
Do your thang...
Mary from Brooklyn
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Kama mary ana mdogo wake nijuze mkuu.
Huu uzi ni wa watu wanne tu au? Mbona sioni wengine ?
Mkuu nilifika salama, saizi nakula Sato na ugali wa muhogo ulochanganywa na Dona !!Niaje Carlos....ulifika salama?
Kabisaa kaongeza idadi aseeSasa ni wa watu watano ukiwemo na wewe.
Mary had a little boy.
Shouts out to Mary from Brooklyn. Bed Stuy to be exact...
Mkuu nilifika salama, saizi nakula Sato na ugali wa muhogo ulochanganywa na Dona !!
Vipi Mary from brooklyn anasemaje
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Ayayayaaaaaa acha kabisaaa ...... Ngoja jion nikitoka kuvua samaki nitapita humu !!Mary from Brooklyn hajambo kabisa.
Leo ni episode 2.
Stay tuned....