Should Rwanda continue to be in EAC? au ipigwe chini...

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
743
kati ya kosa kubwa ambalo jumuiya ya Africa mashariki tulifanya, ni kuiruhusu Rwanda kuwa member wa community. HIVI TUNAWEZA KUWAFUKUZA, kwasababu kwa hali kama hii, hatuwezi hata siku moja kuwa na uhusiano mzuri kati yetu sisi watz na hata raia wa Rwanda. Mtaani kila mtu anawachukia hawa wanyarwanda na hataki hata kuwasikia kwasababu tu ya Paul Kagame. Huyu jamaa ni mjinga sana na anaamini yeye anaweza kufanya kila kitu. kabla ya Rwanda kujiunga na community, sisi sote tulikuwa tunaheshimiana, lakini kinachoenda kutokea sasaivi, tutagawanyika na mataifa makubwa yanawezak utugawanya kabisa hata tukapigana sisi kwa sisi.

Hata hivyo, sishauri Tanzania kujibu lolote au hata kuivamia Rwanda kwa namna yeyote ile, kwasababu ya maendeleo makubwa waliyofikia kwa sasa. vita ikianza kati yetu sisi watz na Rwanda, Kigali itakuwa reduced to the ground, na watakuja kutumia muda mrefu sana kuijenga tena, wakati sisi watz dar es salaam na mikoa yote yenye uchumi itaendelea kufanya kazi.labda kigoma na Bukoba peke yake ndio watapata shida, hata hivyo ni raisi kuhandle kwa kule.

Nyerere alikuwa na akili sana, kuweka katika kila mkoa, kambi ya jeshi. Jana wakati maadhimisho ya kijeshi yanaendelea, nilifurahi kuoa karibia kila mkoa kuna kambi ya jeshi na wanaadhimisha kwa ukakamavu wa kutosha. Ila kama kagame akilianzisha yeye, majeshi yetu ya bukoba na kigoma yanamstosha kumkimbiza hadi misitu ya Congo akaishi na M23.
 
M23 karibu wanafutiliwa mbali pia,jana taarifa ya habari imesemwa kikosi cha Malawi (adui zetu pia) kikifika wanaanza mapambano na M23,

Suala hapa sio watu wa Rwanda, swala ni watutsi! Rwanda wapo wahutu, watwa na hao watutsi. Ni kweli tumekuwa tukiishi nao hapa Tanzania bila tatizo, lakini hayo maneno ya kagame ndio yameamsha hasira za Watanzania na kuona kweli hawa sio watu. Wamekosa shukrani kwa kiwango cha juu sana. Kilichopo ni kuwasakanya popote walipo na kuwarudisha huko kwao. Hatahitaji fujo nchini kwetu
 
Mkuu naomba kutofuatiana na wewe. Ukumbuke kuwa Paul Kagame ni Rais wa Rwanda, si mwakilishi wa watusi, na kama yeye ana chuki na watanzania haina maana watusi wengine wana chuki na Tanzania. Tunaishi na watusi wengine tu hapa Tanzania, mbona wako poa tu? ni sawa na ilivyokuwa wakati wa Idd Amin, waganda walikuwa wenzetu na hawakuwa maadui wetu kama Idd Amin na Jeshi lake.

Believe me, JK anaposema atakayetuchokoza tutamchukulia hatua kama alivyofanya Idd Amin he knows what he mean.
 
angekuwepo mwalimu angetoa kauli hii "KAGAME WEWE NI KICHAA,LAKINI PAMOJA NA UKICHAA WAKO,NTAKUPIGA"..
 
Kama vipi Balozi wa Rwanda atimuliwe!!! tunamsubiri huyo mtusi ajibu chichote..... ni fedheha kwa raisi wetu kukejeliwa na ka nchi kama Rwanda....hata kama tunaitikadi za kichama inapokuja suala la kitaifa lazima tuwe wamoja... Who is Kagame bana!!!!
 
Suala hapa sio watu wa Rwanda, swala ni watutsi! Rwanda wapo wahutu, watwa na hao watutsi. Ni kweli tumekuwa tukiishi nao hapa Tanzania bila tatizo, lakini hayo maneno ya kagame ndio yameamsha hasira za Watanzania na kuona kweli hawa sio watu. Wamekosa shukrani kwa kiwango cha juu sana. Kilichopo ni kuwasakanya popote walipo na kuwarudisha huko kwao. Hatahitaji fujo nchini kwetu

acha ubaguzi. kama wewe unawachukia ni wewe tu.
wengine wachumba zetu ni wanyarwanda.
 
Suala hapa sio watu wa Rwanda, swala ni watutsi! Rwanda wapo wahutu, watwa na hao watutsi. Ni kweli tumekuwa tukiishi nao hapa Tanzania bila tatizo, lakini hayo maneno ya kagame ndio yameamsha hasira za Watanzania na kuona kweli hawa sio watu. Wamekosa shukrani kwa kiwango cha juu sana. Kilichopo ni kuwasakanya popote walipo na kuwarudisha huko kwao. Hatahitaji fujo nchini kwetu
Interahamwe utawajua tuu!
 
Mkuu naomba kutofuatiana na wewe. Ukumbuke kuwa Paul Kagame ni Rais wa Rwanda, si mwakilishi wa watusi, na kama yeye ana chuki na watanzania haina maana watusi wengine wana chuki na Tanzania. Tunaishi na watusi wengine tu hapa Tanzania, mbona wako poa tu? ni sawa na ilivyokuwa wakati wa Idd Amin, waganda walikuwa wenzetu na hawakuwa maadui wetu kama Idd Amin na Jeshi lake.

Believe me, JK anaposema atakayetuchokoza tutamchukulia hatua kama alivyofanya Idd Amin he knows what he mean.

una sound kama mnyarwanda vile!
 
Kama vipi Balozi wa Rwanda atimuliwe!!! tunamsubiri huyo mtusi ajibu chichote..... ni fedheha kwa raisi wetu kukejeliwa na ka nchi kama Rwanda....hata kama tunaitikadi za kichama inapokuja suala la kitaifa lazima tuwe wamoja... Who is Kagame bana!!!!

Huyo balozi mdogo aitwaye John.... alisoma muhimbili na kuishi Ocean road flats akiwa mhaya, ghafla kawa balozi mdogo hapo upanga, kihaya hajui tena, anazungumza kinyarwanda tu!!! maajabu watu hawa.
 
kati ya kosa kubwa ambalo jumuiya ya Africa mashariki tulifanya, ni kuiruhusu Rwanda kuwa member wa community. HIVI TUNAWEZA KUWAFUKUZA, kwasababu kwa hali kama hii, hatuwezi hata siku moja kuwa na uhusiano mzuri kati yetu sisi watz na hata raia wa Rwanda. Mtaani kila mtu anawachukia hawa wanyarwanda na hataki hata kuwasikia kwasababu tu ya Paul Kagame. Huyu jamaa ni mjinga sana na anaamini yeye anaweza kufanya kila kitu. kabla ya Rwanda kujiunga na community, sisi sote tulikuwa tunaheshimiana, lakini kinachoenda kutokea sasaivi, tutagawanyika na mataifa makubwa yanawezak utugawanya kabisa hata tukapigana sisi kwa sisi.

Hata hivyo, sishauri Tanzania kujibu lolote au hata kuivamia Rwanda kwa namna yeyote ile, kwasababu ya maendeleo makubwa waliyofikia kwa sasa. vita ikianza kati yetu sisi watz na Rwanda, Kigali itakuwa reduced to the ground, na watakuja kutumia muda mrefu sana kuijenga tena, wakati sisi watz dar es salaam na mikoa yote yenye uchumi itaendelea kufanya kazi.labda kigoma na Bukoba peke yake ndio watapata shida, hata hivyo ni raisi kuhandle kwa kule.

Nyerere alikuwa na akili sana, kuweka katika kila mkoa, kambi ya jeshi. Jana wakati maadhimisho ya kijeshi yanaendelea, nilifurahi kuoa karibia kila mkoa kuna kambi ya jeshi na wanaadhimisha kwa ukakamavu wa kutosha. Ila kama kagame akilianzisha yeye, majeshi yetu ya bukoba na kigoma yanamstosha kumkimbiza hadi misitu ya Congo akaishi na M23.
Nadhani nyinyi ni vijana bado, hivyo si vizuri kushabikia vita, ni bora tutafute njia ya kupatana na jirani zetu!!! Wanyarwanda ni ndugu zetu wacha hizo jaziba za kiongozi wao Kagame, huko kwake kuna watu pia hapatani nao, ana tabia za kidekteta!! Tusiweke petroli kwenye moto tujitahidi kupoza sio kuchochea!!!
 
Tatizo Rwanda ndio pace maker kati ka EAC sasa hivi. Ndio wenye u EAC wa ukweli na wa vitendo. Ni rahisi Tanzania au Kenya kuodolewa na members wengine kwenye muungano kulikoni Rwanda.
 
I totally disagree with your inputs, let Rwanda GO.
 
kati ya kosa kubwa ambalo jumuiya ya Africa mashariki tulifanya, ni kuiruhusu Rwanda kuwa member wa community. HIVI TUNAWEZA KUWAFUKUZA, kwasababu kwa hali kama hii, hatuwezi hata siku moja kuwa na uhusiano mzuri kati yetu sisi watz na hata raia wa Rwanda. Mtaani kila mtu anawachukia hawa wanyarwanda na hataki hata kuwasikia kwasababu tu ya Paul Kagame. Huyu jamaa ni mjinga sana na anaamini yeye anaweza kufanya kila kitu. kabla ya Rwanda kujiunga na community, sisi sote tulikuwa tunaheshimiana, lakini kinachoenda kutokea sasaivi, tutagawanyika na mataifa makubwa yanawezak utugawanya kabisa hata tukapigana sisi kwa sisi.

Hata hivyo, sishauri Tanzania kujibu lolote au hata kuivamia Rwanda kwa namna yeyote ile, kwasababu ya maendeleo makubwa waliyofikia kwa sasa. vita ikianza kati yetu sisi watz na Rwanda, Kigali itakuwa reduced to the ground, na watakuja kutumia muda mrefu sana kuijenga tena, wakati sisi watz dar es salaam na mikoa yote yenye uchumi itaendelea kufanya kazi.labda kigoma na Bukoba peke yake ndio watapata shida, hata hivyo ni raisi kuhandle kwa kule.

Nyerere alikuwa na akili sana, kuweka katika kila mkoa, kambi ya jeshi. Jana wakati maadhimisho ya kijeshi yanaendelea, nilifurahi kuoa karibia kila mkoa kuna kambi ya jeshi na wanaadhimisha kwa ukakamavu wa kutosha. Ila kama kagame akilianzisha yeye, majeshi yetu ya bukoba na kigoma yanamstosha kumkimbiza hadi misitu ya Congo akaishi na M23.
Hoja za kitoto zinazowafaa wendawazimu kama mokala na rushasha hizi, kwanza kuna ugomvi gani kati ya TZ na Rwanda kuingia vitani au kuwaza vita namna hii?au mnaongelea hawa interahamwe wa humu JF kina Rushasha ndio wanawadanganya na nyie mnawasikiliza?nyie mnapiga kelele za ugomvi na imaginary war isiyokuwepo ila wanaoelewa wanajua wenzenu practically wameshaanza kuiweka EAC bila TZ
 
Tatizo Rwanda ndio pace maker kati ka EAC sasa hivi. Ndio wenye u EAC wa ukweli na wa vitendo. Ni rahisi Tanzania au Kenya kuodolewa na members wengine kwenye muungano kulikoni Rwanda.

Day dreamer! Kuua na kubaka wanawake na watoto huko DRC ndo peace making? By the way TZ hatukuhitaji kabisa EAC hasa ukiwaingiza hao watutsi wasioijua amani bali kuua na kumwaga damu za binadam wenzao!
 
Kawaambie Uhuru na Museveni hayo usikie watakujibu nini?nina uhakika wako tayari kuiona TZ ikitoka sasa kuliko Rwanda

Uhuru anatia huruma coz he doesnt knw the tyrants he is dealing with. Na TZ hatuhitaji hiyo EAC kwa hiyo tukitoka there is nothing we can lose
 
Hoja za kitoto zinazowafaa wendawazimu kama mokala na rushasha hizi, kwanza kuna ugomvi gani kati ya TZ na Rwanda kuingia vitani au kuwaza vita namna hii?au mnaongelea hawa interahamwe wa humu JF kina Rushasha ndio wanawadanganya na nyie mnawasikiliza?nyie mnapiga kelele za ugomvi na imaginary war isiyokuwepo ila wanaoelewa wanajua wenzenu practically wameshaanza kuiweka EAC bila TZ

Usiponitaja mimi na mokala na kutupachika majina ya interahamwe husikii raha eee? Ugonvi aliuleta huyo muuaji kagame kumkashifu Rais wetu. Hatuhitaji vita sisi maana ndio mnachotaka nyie mliozoea mauaji. EAC waiweke tu nje TZ hatuhitaji kushirikiana na watutsi watu waliokosa hulka ya ubinadamu
 
Back
Top Bottom